Kutoka Bungeni: Wabunge wamchagua Dr. Tulia Ackson Mwansasu kuwa Naibu Spika wa Bunge la 11 la JMT

Tulia naona ameandamwa sana... kila akitaka kujibu kwa maelezo marefu watu hawataki (upinzani).... noma sana, ila si sawa, upinzan inabid wawe na busara sio kila siku kutaka kitu watakavyo wao... mtu akitaka kujibu mnamvamia kwa maneno... sio sawa

Ni kweli sio kama hajui kujieleza au kujibu bali amezingwa sana. Tunahitaji wabunge ambao ni watulivu na wenye kufanya mambo yao kwa busara na si kama walevi. Inasikitisha sana kwa kweli kwa haya kama yataendelea
 
Mkuu, mbona kuna mahawara kibao tu wa viongozi wa upinzani kwenye kambi ya upinzaji? Dr Tulia kawazidi sana wwbubge wq upinzani hasa kwenye uga wq sheria. Pia wana hasira naye baada ya kushindwa kwao kwenye kesi ya mita 200

Jifikirie wewe kwanza kama unafaa kuwa pale kino.
 
Walaka wa watumishi wa umma mwaka 2000
 
Attachments

  • 1447930096732.jpg
    1447930096732.jpg
    67.2 KB · Views: 226
  • 1447930113571.jpg
    1447930113571.jpg
    58.9 KB · Views: 217
Hayuko mwenyewe kupitia mlango wa nyuma tasisi nyingi za serikali watu wamepitia mlango wa nyuma kupata vyeo ndiyo maana Tanzania hatutakaa tuendelee. Wenye akili wanaachwa na wengi wameona afadhali wakabebe maboksi. Mtu kama kina Nape kweli wanapewa cheo kikubwa cha chama kinachotawala tutegemee nini.
 
Sijasoma sheria ili huu upuuz nimeuelewa!!!! TULIA KAKUBALI KUA MWANASHERIA WA SERIKALI HARUHUSIWI KUA NA CHAMA NA ALIPOCHUKUA FORM YA USPIKA HAKUA NA CHAMA...which is right!!! Swali; RAIS KAMTEUA KUA MBUNGE ASUBUH AKIWA HANA CHAMA MUDA HUO HUO AKACHUKUA FORM KUGOMBEA UNAIBU SPIKA KUPITIA CCM!!!! Kadi ya uanachama alikua nayo?? Maana unapogombea unaibu kupitia ccm ina maana ww ni mwanachama halali wa cham hicho!!!!!! Yy hakua na chama aliwezaje kugombea kupitia ccm??? JIBU LAKE YY TULIA AKATOA MAKUNDI MATATU AMBAYO HAYARUHUSIWI KUA NA CHAMA NA YEYE KMA MWANASHERIA WA SERIKALI KAJITOA KATIKA HAYO MAKUNDI!!!! Ina maana anakubali kua alipokua mwanasheria tayr alikua na chama cha siasa kitu ambacho ni kinyume na sheria na mwanzon alikiri kua mwanasheria mkuu wa serikali haruhusiw kua kada wa chama cha kisiasa...HILI NI SWALI MOJA TU MENGINE YOTE HAKUJIBU...ALIJIBU NJE YA SWALI!!!! Ila bado anaitwa msomi!!! Na ccm wakampigia makofi..NA ALIJIBU KWA VIFUNGU VYA SHERIA..NI KILAZA TU HANA JINA LINGINE

Kadi ya CCM hata wewe ukiitaka njoo hapa nikupe sasa hivi. Hivi ujiulizi Lowassa ameanza lini kuwa mwanachama wa CHADEMA na lini kuwa mgombea urais wa CHADEMA....sembuse Uspika!? Au Unaibu spika!? Jiulize kama kwenye urais iliwezekana....kwanini unaibu wa spika iwe ngumu kumeza!? Hahahaha
 
Kuna watu ni wajinga... Hivi kwanini walikuwa wanamzonga Tulia asiwajibu ...

Siasa za kuzomeazomea ndo zimewaponza... Mngemuacha awajibu... Sio kuzomea
 
Sijasoma sheria ili huu upuuz nimeuelewa!!!! TULIA KAKUBALI KUA MWANASHERIA WA SERIKALI HARUHUSIWI KUA NA CHAMA NA ALIPOCHUKUA FORM YA USPIKA HAKUA NA CHAMA...which is right!!! Swali; RAIS KAMTEUA KUA MBUNGE ASUBUH AKIWA HANA CHAMA MUDA HUO HUO AKACHUKUA FORM KUGOMBEA UNAIBU SPIKA KUPITIA CCM!!!! Kadi ya uanachama alikua nayo?? Maana unapogombea unaibu kupitia ccm ina maana ww ni mwanachama halali wa cham hicho!!!!!! Yy hakua na chama aliwezaje kugombea kupitia ccm??? JIBU LAKE YY TULIA AKATOA MAKUNDI MATATU AMBAYO HAYARUHUSIWI KUA NA CHAMA NA YEYE KMA MWANASHERIA WA SERIKALI KAJITOA KATIKA HAYO MAKUNDI!!!! Ina maana anakubali kua alipokua mwanasheria tayr alikua na chama cha siasa kitu ambacho ni kinyume na sheria na mwanzon alikiri kua mwanasheria mkuu wa serikali haruhusiw kua kada wa chama cha kisiasa...HILI NI SWALI MOJA TU MENGINE YOTE HAKUJIBU...ALIJIBU NJE YA SWALI!!!! Ila bado anaitwa msomi!!! Na ccm wakampigia makofi..NA ALIJIBU KWA VIFUNGU VYA SHERIA..NI KILAZA TU HANA JINA LINGINE

Excellent, Hamada harudi hapa, huyo ni kama robot na akirudi ataishia kubreak the wind tu
 
Kadi ya CCM hata wewe ukiitaka njoo hapa nikupe sasa hivi. Hivi ujiulizi Lowassa ameanza lini kuwa mwanachama wa CHADEMA na lini kuwa mgombea urais wa CHADEMA....sembuse Uspika!? Au Unaibu spika!? Jiulize kama kwenye urais iliwezekana....kwanini unaibu wa spika iwe ngumu kumeza!? Hahahaha

Nyie kila ktu ni lowassa hvi hamuwez kijidefend kwa utashi wenu...Lowassa alichukua kadi ya chadema na wote tuliona na form ya urais aliichukua two weeks baada ya kujiunga na chama...now tell me abt dr.hajatulia
 
Lowasa alipata kura milioni kumi

Mil 10 Zipi Hizo Mkuu?? Still Unaendelea Kujiaminisha Lowassa Alishinda Na Kuendelea Kuwa Na Msongo Wa Mawazo,wakati Viongozi Wameshakubali?Huyo Lowassa Wako Naye Kashakubali Ameshindwa,wew Bado Unaendelea Kushikilia Maneno Yakuaminishwa Ambayo Wewe Mwenyewe Hukuwahi Kuthibitishiwa?
 
Kinachoendelea Bungeni kwenye mchakato wa Uchaguzi w Naibu Spika, Nimeanza kuingiwa na hofu na hawa wanaoitwa Madokta (Kielimu).

Dr Tulia ni kielelezo cha wasomi wetu ambao kichwani ni weupe, dada hajui kujieleza kabisa.

Ukiwa CCM hiyo ndiyo qualification ya kwanza.... Nyingine zinafuata baadae
 
Kwa siasa za kibongo, uwezo mahaba kwanza!!!! Hata kama kukitokea nafasi yoyote bungeni inayohitaji mwanasheria, si ajabu AIRO/LUSINDE akamshinda tundu lisu, kupitia kura. Siasa za kishamba sana.
Huwezi kumlinganisha Tulia na sakaya.acheni utani Tulia ni habari nyingine ndio mana ukawa walimuogopa sana.
 
Sijasoma sheria ili huu upuuz nimeuelewa!!!! TULIA KAKUBALI KUA MWANASHERIA WA SERIKALI HARUHUSIWI KUA NA CHAMA NA ALIPOCHUKUA FORM YA USPIKA HAKUA NA CHAMA...which is right!!! Swali; RAIS KAMTEUA KUA MBUNGE ASUBUH AKIWA HANA CHAMA MUDA HUO HUO AKACHUKUA FORM KUGOMBEA UNAIBU SPIKA KUPITIA CCM!!!! Kadi ya uanachama alikua nayo?? Maana unapogombea unaibu kupitia ccm ina maana ww ni mwanachama halali wa cham hicho!!!!!! Yy hakua na chama aliwezaje kugombea kupitia ccm??? JIBU LAKE YY TULIA AKATOA MAKUNDI MATATU AMBAYO HAYARUHUSIWI KUA NA CHAMA NA YEYE KMA MWANASHERIA WA SERIKALI KAJITOA KATIKA HAYO MAKUNDI!!!! Ina maana anakubali kua alipokua mwanasheria tayr alikua na chama cha siasa kitu ambacho ni kinyume na sheria na mwanzon alikiri kua mwanasheria mkuu wa serikali haruhusiw kua kada wa chama cha kisiasa...HILI NI SWALI MOJA TU MENGINE YOTE HAKUJIBU...ALIJIBU NJE YA SWALI!!!! Ila bado anaitwa msomi!!! Na ccm wakampigia makofi..NA ALIJIBU KWA VIFUNGU VYA SHERIA..NI KILAZA TU HANA JINA LINGINE

Maswali kwako sasa,
1. Je, Mbunge wa kuteuliwa na rais ni lazima awe mwanachama wa chama fulani?
2. Je, ili ugombee unaibu spika kupitia chama fulani, ni lazima uwe mwanachama wa chama hicho?
3. Ni nani anapitisha jina la mgombea wa unaibu spika. (hapa naongelea CCM maana vyama vingine wanavyoteuana haiko wazi) Ni
kamati kuu kama ilivyo kwa spika, au ni wabunge wa CCM?

Ukitoa majibu sahihi ya maswali hayo matatu, utagundua kuwa wewe ndio kilaza zaidi kuliko vilaza tunaowategemea. Swali la alichukua lini kadi halibebi msingi wa kuwa mgombea wala haki ya kugombea.
 
Back
Top Bottom