Kutoka Bungeni: Wabunge wamchagua Dr. Tulia Ackson Mwansasu kuwa Naibu Spika wa Bunge la 11 la JMT

Mkuu, mbona kuna mahawara kibao tu wa viongozi wa upinzani kwenye kambi ya upinzaji? Dr Tulia kawazidi sana wwbubge wq upinzani hasa kwenye uga wq sheria. Pia wana hasira naye baada ya kushindwa kwao kwenye kesi ya mita 200
 
kukariri kila mtu anaweza, tatizo ni kuchangia na kuchambua ili jamii ikuelewe. mtu unaweza kumeza vifungu vyote vikakuchanganya kuvieleza. hamna kkitu hapo. hilo ndio tatizo la ubunge wa mlango wa nyuma
 
Mazingira aliyoingilia bungen yatamsumbua bt kiukwel anaonekana yupo vzr kisheria
 
Kashindwa nn wakati sio kila swali ni swali

Kwanza hajashindwa yeye kama mwanasheria alikuwa anajibu sheria na kanuni iliyomruhusu yeye kugombea hizi nafasi za siasa cc wananchi tulitaka tujue lkn bunge la kitoto limeanza zomea zomea,dawa kukata posho zote ili waende wenye wito tu,wapiga dili tupa kuleee
 
nakumbuka sana bunge la katiba ,juzi alipokua naibu mwanasheria alihujumu 200mt ,pia huyu anaingizwa bungeni kwa kazi maalumu
 
xaxa mtu hawez hata kujibu maswal et ametulia utatulia vp wakat hata kujieleza n shda UMEMSIKIA MAGDALENA NA KUMSIKILZA ALIVYOSIMAMA ANAVYOONGEA NA KUJBU du kila cku mnaambia MBUNGE MMOJA WA UKAWA NI SAWA NA WABUNGE 20 mpaka 50 WA CCM sasa ndo maana wanajenga hoja kwa umakn xana na kwa akil hongera xana ukawa na pole ccm na mnabebwa na ujinga wa wachache mliowanyma elim
 
tatizo wabunge wa ukawa hawataki kuisoma katiba laiti kama wangeisoma wasingempikia kelele dr tulia
 
Kinachoendelea Bungeni kwenye mchakato wa Uchaguzi w Naibu Spika, Nimeanza kuingiwa na hofu na hawa wanaoitwa Madokta (Kielimu).

Dr Tulia ni kielelezo cha wasomi wetu ambao kichwani ni weupe, dada hajui kujieleza kabisa.

Dah! Wewe unayejua kujieleza upo wapi!? Mbona hata jina lako tu humu JF ni la uongo? Ukiwa hujui kitu huwezi kumsema mwingine anayejua. Wewe kaa tu huko UKAWA...mahali ambapo mmenyimwa ustaarabu. Mtu anataka kujenga hoja...mnamzonga zonga. Sasa huu ustaarabu wa wapi? Anyway...ndio anakuwa naibu wa spika. whether you like it or not. Kama ambavyo amekuwa rais wetu Dkt Magufuli.
 
me nimeavutiwa na sauti ya huyo mama wa pili,imenikonga moyo aisee,uanasheria wake hukooo,sauti ya mama wa kwanza imenitisha kidogo
 
Back
Top Bottom