<br />Mbunge wa CUF Mheshimiwa Kombo amesema CUF hawapo kambi ya Upinzani kwani Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Ndugu Tundu Lissu hana Nidhamu na wao CUF wanaona hawawezi kuongozwa na Mtu asiye na Nidhamu,kwani anatolewa nje kwa kukosa Nidhamu!
<br />
<br />
mbona wao ni sehemu ya serikali ! Hao ni ccm B, ni wajinga tu. Ndo maana Nape kamtukana Maalim Seif, hata kumkemea kwa dhati wameshindwa, Ni wapuuzi tu.
Mbunge wa CUF Mheshimiwa Kombo amesema CUF hawapo kambi ya Upinzani kwani Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Ndugu Tundu Lissu hana Nidhamu na wao CUF wanaona hawawezi kuongozwa na Mtu asiye na Nidhamu,kwani anatolewa nje kwa kukosa Nidhamu!
ndoa ya magamba na mke wa pili nccr imevunjika siku nyingi sasa hivi bwana magamba amebaki na wake watatu akiwemo bi mkubwa kafu, tlop na udipiimwananchi
Pamoja na kusindikizwa na askari wa Bunge, baadhi ya wabunge wa Chadema na NCCR Mageuzi walitoka nje wakimsindikiza Wenje.Walipofika nje ya ukumbi wa Bunge walianza kumlalamika kwamba, Mabumba ameshindwa kuongoza Bunge na kudai kuwa anaonyesha upendeleo wa wazi katika uendeshaji wa vikao vya chombo hicho.
Nje ya Ukumbi wa Bunge
Nje ya Ukumbi wa Bunge ilizuka tafrani nyingine iliyosababisha Mbunge Filikunjombe (CCM), kunusurika kupokea kichapo kutoka kwa wabunge wa Chadema na NCCR Mageuzi baada ya kuingilia mazungumzo yao wakati wanajadili suala la Wenje kutimuliwa ukumbini.
"Tatizo lenu ninyi wabunge wa Chadema mnaishia kuwa wabishi kila wakati, jambo ambalo linawapotezea heshima kwa wananchi,'' alisema Filikunjombe na kuongeza: "Acheni mambo ya kitoto rudini ndani kuendelea na Bunge. Sio kila siku ninyi Chadema tu, watu wamewachoka.''
Kauli ya ilikuwa kama kumwaga petroli kwenye moto, kwani kundi la wabunge wa Chadema na NCCR Mageuzi ambao kwa wakati huo wakiongozwa na Moses Machali (Kasulu Mjini NCCR), walimvaa kama nyuki mbunge huyo na kuanza kurushiana maneno makali.
"We mjinga kweli, hapa sio wabunge wa Chadema hata sisi wa NCCR-Mageuzi tupo tunachojadili ni maslahi ya nchi sio ushabiki wa vyama, toka hapa mshamba wewe,'' alisema Machali.