Kutoka Bungeni:CUF wajitoa Kambi ya Upinzani kwa mnadhimu kukosa sifa

CUF ni wanafiki tangu zamani-ndoa yao inawabana-ndio maana lipumba alishamkabizi jk katiba ya chama chake
 
[QUOTE=CUF ni mtawala mwenza na Magamba hapo la kujitia upinzani lipi. Kupimwa akili wangeanza na huyu mzee.
 
Mbunge wa CUF Mheshimiwa Kombo amesema CUF hawapo kambi ya Upinzani kwani Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Ndugu Tundu Lissu hana Nidhamu na wao CUF wanaona hawawezi kuongozwa na Mtu asiye na Nidhamu,kwani anatolewa nje kwa kukosa Nidhamu!

tatizo la viongozi wa kiafrika hatuwezi kufikiria nje ya personalities.............................kambi ya upinzani is bigger than personalities................halafu utamhukumuje mtu kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.................je kama naibu spika kafanya makosa huono utakuwa umemwonea TUndu lissu?
 
hata mimi nilipata mshangao baada ya kusema wao cuf hawapo ktk kambi ya upinzani,maana wanajulikana toka walipoolewa na ccm hawakuwa wapinzani tena,leo huyo kombo alikuwa anatukumbusha tu ndoa yao
 
CUF watu wa ajabu sana. Mwanzo hawakuwekwa kwenye kambi ramsi ya upinzani wakawa wana lalamika. Sababu ya Chadema kuto kuwa include CUF na vyama vingine vya upinzani mwanzoni ni tofauti za kiitikadi na mbinu. CUF waka lalamika weeeee mpaka Chadema ika compromise na kuwa ingiza kwenye kambi ya upinzani. Leo wana jitoa?
 
Mbunge wa CUF Mheshimiwa Kombo amesema CUF hawapo kambi ya Upinzani kwani Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Ndugu Tundu Lissu hana Nidhamu na wao CUF wanaona hawawezi kuongozwa na Mtu asiye na Nidhamu,kwani anatolewa nje kwa kukosa Nidhamu!

Wakajiunge na Maalim Seif Sharif Kugonga Mvinyo a.k.a Pombe Ikulu
 
Mbunge wa CUF Mheshimiwa Kombo amesema CUF hawapo kambi ya Upinzani kwani Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Ndugu Tundu Lissu hana Nidhamu na wao CUF wanaona hawawezi kuongozwa na Mtu asiye na Nidhamu,kwani anatolewa nje kwa kukosa Nidhamu!
.

Lini waliingia huko upinzani wanakodai wanatoka sasa? Wapeleke ushoga wao huko kwao, watu wapo bungeni kikazi zaidi
 
Mtatiro toka huko jiunge na CDM tukomboe nchi, wenzako wanaongea pumba bungeni ww wamekususia chama hapo Buguruni
 
Binafsi nilishasahau kama CUF ni wapinzani! ndio nakumbuka sa ivi baada ya hii thread
 
angu lini kaf wako na CDM CHAMA KUBWA? Usipika waliyapa makinda badala ya SIPIKA NYAUCHO, wakaamua kupigiaa picha ya spika, na ndio maana CDM hawakuwapa uwaziri kivuli hata mmoja. Leo ungesikia serikali ya upinzani yavunjika. aende zao pemba wakale gahawa.
 
Wamezoea ndoa ya wake wengi hao.CUF wameolewa na CCM na Lipumba alisalimisha Sera/Katiba yao kwa JK ikimaanisha amesalimu amri,Sasa wana ng'ang'aniza ndoa na CDM ili iweje.Huo ni umalaya wa kisiasa wa kugawa kwa kila rika
 
Back
Top Bottom