Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,400
- 4,074
Wadau nawasalimu naomba wenye uelewa mpaka watujuzi
Tanzania ni nchi huru yenye katiba yake. Katiba ya Tanzania ina sema Tanzania ni nchi ya mfumo wa vyama vingi vya siasa na bunge ni la vyama vingi.
Hivyo kutakuwa na wabunge wa chama tawala na wabunge wa vyama vya upinzani ambao wataunda kambi rasmi ya upinzani bungeni kwa kufanya hivyo litakuwa lipo kikatiba.
Kwa sasa bunge lililopo binafsi naona kama halipo kikatiba kwani kuna mapungufu yafuatayo
1. Bunge halina kambi rasmi ya upinzani
2. Bunge halina kiongozi wa kambi hiyo
3. Bunge halina mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani
4. Bunge halina mawaziri vivuli
5. Bunge halisomi hotuba ya bajeti kuu ya kambi rasmi ya upinzani
6. Bunge halizomi hotuba za mawaziri vivuli
Je, Bunge kutokuwa na kambi rasmi ya upinzani lina uhalali gani kikatiba?