funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,565
- 21,047
mimi niko free ila hiyo siwezi ya ku-poopoh duh kweli mapenzi ni mapumbavuSasa wewe unashangaa kutoa hewa chafu, je ku-poopoh wakati mwenzako anaoga hapo pembeni yako? Ndoa is the place you can be yourself bwana, huko kwenye nyumba ndogo ndo unaweza ku-act. Utajizuia miaka 10, si utapata kansa ya utumbo mnene?