Kutoa hewa kwa wanandoa

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Mara nyingi kiafrika wanandoa hulala pamoja! Nina swali! Iwapo mmoja wenu ana haja ya kutoa hewa chafu (kujamba) wakati wa usiku ni lazima atoke out of room akimaliza arudi kuuchapa usingizi au shughuli inamaliziwa hapo hapo! Na je hii inaathari yeyote kwa uliye naye kitandani kwa muda huo....
Naomba wenye uzoefu mnijuze
 
Teh teh, mnashea kila kiyu, ukimpenda mwenzako unapenda kila kitu, mnatoleana hewa humohumo wote sasa ukitoka nje utatoka mara ngapi, teh teh! oa utaona kila kitu kinavyokuwa it is a nice experience na hasa kam mnapendana kiukweli, you will enjoy it! teh teh teh!
 
zamani walikuwa wanasema kuwa kama mke akipuga (nimepunguza ukali wa neno) mkiwa mmejifunika shuka mpk kichwani unakuwa kama umelishwa libwata kila analosema unafuata
 
unajamba tuu ili mradi na yeye akikiachia uuchune hata kama kinanuka kiasi gani..fair play si ndio..
 
Duh! Kuna vingine vinanuka sana bana, huwezi maliza mumo mumo wife/husband aweza kusufocate na kuwa mada
 
Mara nyingi kiafrika wanandoa hulala pamoja! Nina swali! Iwapo mmoja wenu ana haja ya kutoa hewa chafu (kujamba) wakati wa usiku ni lazima atoke out of room akimaliza arudi kuuchapa usingizi au shughuli inamaliziwa hapo hapo! Na je hii inaathari yeyote kwa uliye naye kitandani kwa muda huo....
Naomba wenye uzoefu mnijuze

KuWA UYAONE KIMBWEKA
 
Mkuu mimi nilikuwa najifanya nna aibu sana, toka enzi ya uchumba mwenza ngu anaachia tuu, mimi nabana. kuna siku akaniuliza hivi wewe unajidai eti huachii tukiwa wawili una maana gani? nyie ndo watu wenye sili za ajabu ajabu au unaniogopa? dah mwanaume nikaona isiwe abu tokea hapo nikaanza taratibu lkn these days nikuachia tuu kwa kwenda mbele hahaa. Tena juzi kati nimesikia dirisha la jirani (Nyumba ya Karibu na home) kuna mtu na mkewe usiku wanajiachia tuu brrrrrrrrrrrrrrr mara tifuuuuuuuuuuuuuuuu hahahahahah nikawa namwambia waifu mmmh kuna mtu analiwa jichoo huko mbona anajiharishiaaaaa namna hiyoooo hahahah wife hana mbavu
 
Teh teh, mnashea kila kiyu, ukimpenda mwenzako unapenda kila kitu, mnatoleana hewa humohumo wote sasa ukitoka nje utatoka mara ngapi, teh teh! oa utaona kila kitu kinavyokuwa it is a nice experience na hasa kam mnapendana kiukweli, you will enjoy it! teh teh teh!

Hasa kama umeshindilia maharage na mayai ya kuchemsha utatoka mara ngapi? humo humo tui
 
Ya nini kutoka nje, kuna wakati mwingine ni vigumu kujizuia ni kuachia tu!
 
Back
Top Bottom