Kutoa hewa kwa wanandoa

Sasa wewe unashangaa kutoa hewa chafu, je ku-poopoh wakati mwenzako anaoga hapo pembeni yako? Ndoa is the place you can be yourself bwana, huko kwenye nyumba ndogo ndo unaweza ku-act. Utajizuia miaka 10, si utapata kansa ya utumbo mnene?
mimi niko free ila hiyo siwezi ya ku-poopoh duh kweli mapenzi ni mapumbavu
 
An old man and his wife had just gone to bed. After laying in bed for a few minutes the old man cut a fart and says, "Seven Points."

His wife rolls over and asks, "What in the world was that?"

The old man says, "Touchdown, I'm ahead 7 to nothing."

A few minutes later the wife lets one go and says, "Touchdown, Tie score."

After about ten minutes later the old man farts again and says, "Touchdown I'm ahead 14-7."

Now starting to get into this, the wife quickly farts again and says, "Touchdown tie score."

The old man strains really hard but to no avail; he can't fart, so not to be outdone by his wife, he gives it everything he has and poops in the bed.

The wife asks, "Now what in the world was that?"

The old man replies, "Half-Time, Switch-Sides"
 
unajamba tuu ili mradi na yeye akikiachia uuchune hata kama kinanuka kiasi gani..fair play si ndio..

Wala huhitaji kuuchuna; mnaweza kugeuza kamchezo fulani katamu tu! na inashika kweli si utani! Kajaribu leo kumtania vyema akijamba! lol!

nadhanai wataaalumu wataiita Farting fettish..............lol!
 
kwa ujumla before sijawai kusikia jamaa wakijamba tukiwa wote,lakini huyu jamaa yangu wa sasa duh,anayaachia mashuzi kama mabomu ya mbagaraa,maana nshakasirika mpaka nimechoka,siku hizi namimi nayaachia tu humo humo,na mmh hasa nikipiga bwii mwenyewe anakoma maana hiyo harufu kama choo cha city.
 
zamani walikuwa wanasema kuwa kama mke akipuga (nimepunguza ukali wa neno) mkiwa mmejifunika shuka mpk kichwani unakuwa kama umelishwa libwata kila analosema unafuata

walau mbavu zangu zmepata zoez kdogo!!
 
Wala huhitaji kuuchuna; mnaweza kugeuza kamchezo fulani katamu tu! na inashika kweli si utani! Kajaribu leo kumtania vyema akijamba! lol!

nadhanai wataaalumu wataiita Farting fettish..............lol!

HII INAKUWA SAFI SANA HASA SIKU ZA WINTER, UNAMSOGEZA KARIBU NA KUMKUMBATIA KABISA HUKU MKO NDANI YA BLANKETI ALAFU UNAPIGA yusufuuuuuuuu, HAPO MZEE UTASIKIA MASONYO NA MARA BLANKETI LOTE LIMETUPWA SI UNAJUA TENA yusufu KWA HARUFU NA BLANKETI LILICYO ZITO, HEWA HAIPENYI, rajabuuuuuuuuuuuu HAIFAHI KWANI UTAMSTUA MAPEMA, KUWA WAWILI NI RAHA MNAJIACHIA TU
 
nyie vijana, hii ni kitu cha kawaida, wala msiumize moyo kubanabana...mme wako au mke wako anajua kila kona ya maisha yako, halafu ni mwili wako huo mmefanyika mwili mmoja, hivyo ukiona ametoa harufu mbaya, unatakiwa kuivuta kama vile wewe unavyovutaga harufu uliyoitoa wewe mwenyewe..kwa wale wenye vyoo vilivyojengwa pamoja na bafu humohumo...hata kujisaidia haja kubwa mbele ya mkeo/mmeo ni kitu cha kawaida, pia anaweza hata akakutawaza hata kukutawaza ukipenda/amua...kwani unachoogopa ni nini? unaogopa mmeo/mkeo ataona kimba lako...sasa ukiugua huna haja unaharisha hata uwani unakalishwa au unajisaidia kwenye kisahani/kopo/dishi na mkeo/mmeo anatakiwa azoe, akutawaze na afanye vyote utafanya nini? utakubali mdogo wako aje akuuguze wakati mkeo yuko hapohapo?....

yaani mkishaoana mnakuwa mwili mmoja, usafi wake ni usafi wako, uchafu wake ni uchafu wako..harufu yake ni yako, tumbo lake ni lako kila kitu chake ni chako...na ni mwiko kujifanya una aibu mbele ya mwenzio...

mmesikia vijana? :A S shade::A S shade::A S shade::A S shade::A S shade::A S shade::A S shade:
 
Bonge la nasaha. Hongera Ubungoubungo. Waambie waelewe: ndoa si lelemama. Ndo maana inaitwa wedlock/pingu, mwili mmoja. Mnashea YOTE.
 
nyie vijana, hii ni kitu cha kawaida, wala msiumize moyo kubanabana...mme wako au mke wako anajua kila kona ya maisha yako, halafu ni mwili wako huo mmefanyika mwili mmoja, hivyo ukiona ametoa harufu mbaya, unatakiwa kuivuta kama vile wewe unavyovutaga harufu uliyoitoa wewe mwenyewe..kwa wale wenye vyoo vilivyojengwa pamoja na bafu humohumo...hata kujisaidia haja kubwa mbele ya mkeo/mmeo ni kitu cha kawaida, pia anaweza hata akakutawaza hata kukutawaza ukipenda/amua...kwani unachoogopa ni nini? unaogopa mmeo/mkeo ataona kimba lako...sasa ukiugua huna haja unaharisha hata uwani unakalishwa au unajisaidia kwenye kisahani/kopo/dishi na mkeo/mmeo anatakiwa azoe, akutawaze na afanye vyote utafanya nini? utakubali mdogo wako aje akuuguze wakati mkeo yuko hapohapo?....

yaani mkishaoana mnakuwa mwili mmoja, usafi wake ni usafi wako, uchafu wake ni uchafu wako..harufu yake ni yako, tumbo lake ni lako kila kitu chake ni chako...na ni mwiko kujifanya una aibu mbele ya mwenzio...

mmesikia vijana? :A S shade::A S shade::A S shade::A S shade::A S shade::A S shade::A S shade:

no comment
 
Ubungoubungo na Kituko nimewaaagizieni chai ya maziwa na bagia sita za kunde kila mmoja!

wow, bagia, nitashukuru, usijenifanya nisafiri sasa ivi kwenda mkoani kwaajili ya badia za kunde bure, ungejua nikifika pale ilula wakati nakuja bongo, huwa nanunua za wiki nzima kuja nazo bongo..mimi bagia nakula, ila mayai ya kuchemsha hapana, nilishaacha hata maharangwe/mandondo nakula nadra snaa, kwasababu ya hii hii...
 
Jamani unaambiwa unapotaka kuoa/olewa pata partiner anaefanikiwa kukuchekesha mana atakuchekesha hata uzeeni.. Ni English Quote nimejaribu kuiweka in swahil ina a lot of meanin! Yani kujamba nayo inakuwa ni sehemu ya ndoa inayoonyesha nyie wawili how far u have gone to know and being part of each other no fear, no secrets mnachekeshana.. Sometime it becomes part of your jokes!

Kama mwingine alivosema unaoga mwenzio anapuu hapo pembeni poa tu! Hakuna kitu kibaya kama kuogopana kwenye ndoa, i.e kuna mengi pia hamshei lol! Mie hata nikibanwa na uhalo na tuko barabarani mr ndo anadrive nakwambia atakimbiza kama yeye ndo kabanwa na kumake efforts za kupiga cm wafungue gate kablla hatujafika! Badae tunacheka tu Lmao....
 
Kwanza kujamba ni afya,kwa hiyo mwenzio akijamba amini kwamba ni mzima,wale jamaa zetu wa Mbeya a.k.a Nyaki, ukijamba wakasikia wanakupa hongera,wanasema " hongera upiyile" , mnisamehe kama nimekosea kuandika kinyaki.
 
oh yes, ukupyalila pa munyambala gwako
 
Back
Top Bottom