Kutoa hewa kwa wanandoa

Kama hujaoa Kimbweka, Je umeshatangaza nia?
duh umenikumbusha kitu juzi kuna mtu katangaza nia ya kugombea udiwani kwenye mechi ya Brazil kwenye big screen ya mtaani kwetuwatu wacha wa mzomee yule mdingi mpk akaingia mtini alivizia half time wakati wa matangazo ya biashara, mwenyewe alikuja na mkewe kutangaza nia
 
Hahahaha sijui walipotokomea na mkewe walijisikiaje hahahaha, kutangaza nia inataka moyo bana
 
Hahahaha sijui walipotokomea na mkewe walijisikiaje hahahaha, kutangaza nia inataka moyo bana
ilikuwa noma tena kuna jamaa walikuwa wanatukana matusi ya nguoni kabisa halafu mzee mwenyewe ni mtu mzima sidhani kama atarudia tena kutangaza nia kwenye umati wa watu
 
:A S 39:hii mada imenifurahisha sana, ila jamani ukiwa na boy/girl mpya siku za mwanzoni inakuwa kazi kweli kweli,
...unatakiwa kumzoesha tangu mnapoanza urafiki wenu ni mambo ya kawaida hayo kwa binadamu aliyekamilika kwa hiyo shuzi likija we fanya mambo tu hizo harufu na mambo mengine ndio visherehesho vyenyewe!!:hail::hail::hail:
 
Back
Top Bottom