Kutoa hewa kwa wanandoa

jamani hata hapana ...............mie pia sijawahi na sina nia ya kuwahi katika kipindi hichi cha karibuni. labda baada ya maika kama 10 ijayo hivi.......maana nasikia kila ukikuwa na haya zinakupungua! sijui kuna ukweli hapo?
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha :brick:Mbona vingine mwafanya, kupiga chafya n.k. au unataka hata ukitaka kwenda kubwa wabeba na taulo uonekane waenda oga?
 
Hii ni kali.Lakini kitendo chenyewe huwa ni unvoluntarily mara nyingi hasa ukiwa usingizini.Haya ndio mambo ambayo inabidi kuyazoea ili yasikupe shida.
 
jamani hata hapana ...............mie pia sijawahi na sina nia ya kuwahi katika kipindi hichi cha karibuni. labda baada ya maika kama 10 ijayo hivi.......maana nasikia kila ukikuwa na haya zinakupungua! sijui kuna ukweli hapo?

Gaijin, una muda gani kwenye game?...yaani mie nijaze ma gec tumboni kisa namuogoa/hofia mr, haiwezekani, ctaachia mbele za watu lakini nikiwa nae popote panaporuhusu cjibani, kisa cha kuvimbiwa na mtu ananijua kila kona ya mwili ni nini?
 
Nyamayao nakupendea hapo....Hunaga UNAFIKI.
I hope hayo unasema ndo unatenda.
 
Nyamayao nakupendea hapo....Hunaga UNAFIKI.
I hope hayo unasema ndo unatenda.

ndio hivyo Charity, kweli czuii kabisa nikiwa nae, jamani kuna watu unaweza kuwazuilia lakini kwangu mr sio mtu wa kumzuilia kabisa...
 
halafu niwaulize kitu, kama umeoa/olewa una mpenzi unaweza kulala nae kwa ucku mzima, mnataka kuniambia hamjawahi kufanya hata kama hamkupenda kufanya? kuna ile mtu upo ktkt ya ucngizi nature inachukua nafac yake unafanyaje? au kama unajickia labda kwa ucku mara 2 or 3 zote utaamka na kukimbia pembeni kisa kumuogopa/hofia mpendwa wako......sas mnakuwa free kwa nani jamani, mana huyu mie ndio nipo free nae na v2ko vyote vya maisha....
 
Sasa wewe unashangaa kutoa hewa chafu, je ku-poopoh wakati mwenzako anaoga hapo pembeni yako? Ndoa is the place you can be yourself bwana, huko kwenye nyumba ndogo ndo unaweza ku-act. Utajizuia miaka 10, si utapata kansa ya utumbo mnene?
 
king'asti umenichekesha mpaka bac..lol...hebu waeleze jamani!...mie ndio nackia humu mtu anaogopa kujiachia akiwa na ampendae, kuanzia u bfnd/gal nilikuwa naachia mpaka ndoa, sasa nitazuiaje mwili kufanya kazi yake jamani.
 
Duh kweli hapo inabidi kuvumiliana kumbe kwa hiyo mwenzako akiachia yeye anakenua kucheka wakati wewe umekunjamana sura kwa sababu ya harufu! Kazi ipo
 
Back
Top Bottom