Kutengwa kwa wafuasi wa katoliki S/wanga, Ukweli umebaki pale pale

Mwanangu ili uwe na haki ya kutoa mawazo fanya utafiti! Kama kanisa limepewa mamlaka kwamba WATAKALO LIFUNGIA/LIFUNGA DUNIANI BASI LIMEFUNGWA/LIMEFUNGULIWA MBINGUNI. Kumbe basi Kanisa katoliki haliwezi kumshinda MUNGU UJASIRI AMBAYE ALIWAADHIBU MALAIKA WALIO ASI kama hawatotubu upesi na kupokea msamaha Waende kwenye uislamu wakakufuru imani hiyo kama walivyo fanya waone si kutengwa na kuwapa fursa ya kutubu bali fatwa yao ni kukatwa kichwa ili wende upesi jehennam habari ndiyo hiyo mwanangu!

Haki ya kutowa mawanzo inakuja pale unapoamuwa kuingia kwenye hoja. Hivyo kuufananisha Ukiristo na Uislamu ndio mwisho wa utafiti wako? Hawa ni Wakristo na Yesu alizuia kuadhibiwa mzinzi kwa kuwataka wanaotaka kuadhibu kuhakikisha kuwa kama wao hawana makosa. sisi Waislamu tunamfata Kiongozi wetu Jee nyie Wakristo hamumfati Yesu? Hivyo tatizo lenu la Kikiristo unategemea lijibiwe na mtindo wa Kiislamu?

Zaidi ya hayo tuko Tanzania ambako hilo suwala la kukatwa kichwa halipo hivyo sijaona sababu ya wewe kulihusisha hilo na wanayofanya Wakiristo hao wanaojipa uwezo wa kimungu wa kuweza kutowa mtu kwenye dini.
 
Hata hivyo sisi kama chama tulimwita mgombea wetu na kumsihi kuacha kutumia maneno ambayo yanagusa imani kwenye kampeni zake said:
Mbona mleta mada, Aikaotana, anakwepa hii nukuu? Kwani maneno ambayo mgombea alionywa kutoyatuamia kwa sababu yanaguza imani ni yapi? Huku ndiko kuchakachua story ili kutimiza malengo binafsi

Hivyo nawe hapo huoni mchanganyiko? Iwapo aliyeyasema hayo ni Muislamu tena kwa nia njema ya kujipendekeza kwa wenye dini pana haja ya malalamiko kutoka kwa waliopendelewa na kauli hiyo? Nigelifikiri Waislamu ndio wangekuja juu kwa mgombea kuleta udini. Bado hii habari ni uchakachuaji mtupu, penye upenzi basi tuendelee nao tu!
 
Kwani wameondolewa ukristo au uanachama wa kanisa? Chuki zako zinakufanya uwe mbumbumbu wa mambo mengi!

Eh! uanachama wa kanisa unaondolewaje?

Kwani ukifika kanisani kuna kadi za uanachama? I mean mnaingia kwa kuchekiwa kwanza

Uhai wa uanachama unakuwaje?

Hawa jamaa ni wajinga tu wanadai ambacho wanacho wenyewe shule ndogo!
 
Jamani hamuoni hapo kwenye red kama si kweli kwanini walimwita na kumsihi kwenye ukweli uwongo hujitenga

i ever told you should read between the lines! hivi unalifahamu gazeti la mwananchi=CDM= KANISA, niliuliza why inverted coma?, Kwa nini mwandishi alienda kijijini kuulizia sakata ambalo lilikuwa limekwisha? uchunguzi ulikuwa na manufaa gani kwa taifa au ni kulisafisha kanisa? Ndio mana mimi nika quote maneno halisi yaliyosemwa , kumbuka ili ujue ni uchakachuaji ili kuji defend, walianza kwa sababu moja tu kwamba mgombea kaingilia utatu na sasa jeneza la kuzikwa CDM na vizingizio kibao ukweli unabaki KANISA LILIPIGIA KAMPENI CDM , watu wa swanga wakaenda against kanisa kwa kura za ubunge wakatenguliwa ukristo wao na padri mtoa ukristo
 
Kwa kosa walilofanya walistahili adhabu kulingana na sheria za kanisa, sasa napata ugumu watu wanapo husisha mambo haya na siasa. Wadini wana fanya makosa na wakiadhibiwa wanatumia visingizio vya dini badala ya kuangalia matendo yao. utamaduni huu unaopandizwa Tanzania wa watu kutumia dini kujinusuru na fyongo wanazo fanya utatupeleka pabaya kweli (kikwete tulimkataa kwa sababu ya matendo yake sio dini yake -lakini alichakachua)
 
Sisi tunajenga uwanja wa kimataifa Bagamoyo ili kupunguza msongamano wa ndege Dar, lol
 
Back
Top Bottom