MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 10,233
- 22,315
Akiwa mwasisi wa CCM, Hayati Mwalimu Nyerere aliungwa mkono na chama kwenye uongozi wake hadi kukawa na msemo wa "ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI"...
Kwa hakika kwenye maisha yake CCM ilikuwa bega kwa bega na Mwalimu Nyerere. Ninawasihi wakatoliki wafikirie kufanya jambo kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi kutambua mchango wake kwenye maisha ya Mtakatifu mtarajiwa Mwalimu Nyerere.
Sijasema labda wakitaje CCM kama CHAMA KITAKATIFU lakini hata cheti tu kinatosha (Certificate of recognition). Ikumbukwe CCM ndo imebeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo waumini wa kanisa katoliki pamoja na wafuasi wa Chama Cha Mbowe.