Kumbuka udaktari ni kazi kama kazi zingine. Mtu mpaka anakuwa daktari ametumia gharama zake kufika hapo, hakushushwa tu puuuh akawa daktari.
Vilevile daktari kama wafanyakazi wengine wana muda wao wa kazi ambao kikawaida huwa ni masaa 8 baada ya hapo ana haki ya kufanya au kutofanya kazi mara baada ya muda wake wa kazi kuisha.
Sasa nyie mnataka kumpigia simu daktari usiku wa manane aje kazini bila kujali anaishi wapi na usafiri huko alipo upoje maana sehemu zingine ikishafika saa 4 za usiku usafiri huwa ni kipengele.
Mbaya zaidi akichelewa kuja au asipokuja mnamsimamisha kazi muda mwingine mnatishia kumfutia leseni lakini kuhusu kumuongezea pesa ya overtime hilo wala hamlifikirii.
SULUHISHO
1) Wapeni madaktari usafiri wa kutembelea (gari) mkishindwa sana pikipiki ili iwe rahisi kwao kufika kazini muda mtakao wahitaji
2) Walipeni overtime kulingana na muda watakao fanya kazi nje ya muda wa kawaida .
3) Ongezeni idadi ya madaktari maana wagonjwa ni wengi na daktari muda mwingine anafanya kazi shortcut ili kuwaondoa wagonjwa kwa haraka hivyo inapelekea kukosa correct diagnosis maana daktari hapati muda wa kutosha kuchukua history taking ya mgonjwa.