Kushuka kwa elimu TANZANIA je kuna mkono wa siasa?

mwakabembe

Member
Apr 27, 2012
11
0
Nimekuwa nikishangaa sana , eti waziri anasema matokeo haya nimabaya sana wanataka kuunda tume kuchunguza kwa nini?

Ndugu zangu hakuna haja ya kuchunguza mataizo yaliyo wazi. Mfano walimu wanadai madeni serikali inasema inafanya uhakiki
basi walimu wameamua kuwa kwenye cold mgomo hadi serikali itakapo maliza kuhakiki madai yao.

JAMBO LA KUSHANGAZA ZAIDI NIPALE AMBAPO MASWALA HAYA HUINGIZWA KWENYE SIASA, ELIMU NA SIASA HAVIENDI KABISA

KILA MTU ANAFUNDISHA HATA WALIO FELI WANAVITUO VYA TUITION HATUWEZI KUBORESHA ELIMU NAMNA HII
 
Hilo lawezekana pia kwani kama hawatengenezi mazingira mazuri ya waalimu, na wanafunzi ni siasa ndio chanzo,
Kwani kama nchi lazima iliangalie sana swala la elimu.
Kuna mashrooms za academy ambazo sijui ni watanzania wangapi wanaafford, not that na shule zetu za kayumba hata hapa bongo tu watoto wanakaa chini na waalimu ni wachache,
Elimu sio sawa na kuswaga ng'ombe ni connection kati ya mfundishwaji na mpokeaji sijui hiyo ratio imekaaje.
Siasa inachangia.
 
Back
Top Bottom