Kupiga Punyeto ni kufanya mapenzi ya jinsia moja na pia ni kufanya mapenzi kinyume cha maumbile

Wadau,
Kwamimi ninavyoona, kufanya punyeto ni sawa tu kusema unafanya mapenzi ya jinsia moja lakini pia ni sawa tu kusema unafanya mapenzi kinyume cha maumbile. Nyie mnaonaje?
Punyeto ni punyeto na kufanya kinyume na maumbile ni,kufanya kinyume na maumbile
Kahawa haiwezi kuwa uji na uji huwezi kuuita kahawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mwaka wapinga nyeto mmekuja kwa kasi.

Mwanangu dronedrake njoo ujibu mapigo piga comeback ya kwenda
Sikuhizi hili kundi la wapinganyeto, linakuja kwa kasi kwenye mitandao yote.


Nahisi kuna jambo limejificha kwenye hii movement ya wapinganyeto.


Au nawaza kwa akili yangu ndogo, labda wadangaji ndio wapo nyuma ya hii movement ya wapinganyeto. 🤣🤣


Hili kundi la wapinganyeto inabidi lifatiliwe kwa kina.
 
Back
Top Bottom