Hivi unafahamu wakati mwingine mapenzi ni uraibu pia?

Pamba Anord

New Member
Nov 25, 2023
4
8
- Kuna watu hata wateswe mara ngapi na mapenzi, hata waachwe mara ngapi, wao kila siku wanapenda tena watu wapya.

- Kuna wengine, hawawezi kuishi bila kufanya mapenzi na (hawajaoa wala kuolewa).

- Wengine kuwa na mpenzi mmoja tu hawawezi, yaani mpaka awe na wengi ndIo anajskia yupo kwenye mapenzi sasa.

-Wengne mUda wote wanawaza mapenzi tu.

Utafiti uliofanywa na Dr. Zeki pamoja na Bartels mwaka 2000 kutoka chuo cha London na ule wa Prof. Lucy Brown kutoka chuo cha Albert Einstein mwaka 2005, uliolenga kubaini mfumo wa hisia za Mapenzi ndani ya Ubongo unavyofanya kazi, kupitia vipimo vya Magnetic Resonance Imaging (MRI) ulibaini kuwa; mtu anaweza kuwa mraibu wa mapenzi sawa na mtu ambaye anatumia madawa ya kulevya au bangi!
 
Hata wengi ndoa zinasumbua kwa sababu walilewa mapenzi thus inakatazwa kutoshiriki mapenzi kabla
 
- Kuna watu hata wateswe mara ngapi na mapenzi, hata waachwe mara ngapi, wao kila siku wanapenda tena watu wapya.

- Kuna wengine, hawawezi kuishi bila kufanya mapenzi na (hawajaoa wala kuolewa).

- Wengine kuwa na mpenzi mmoja tu hawawezi, yaani mpaka awe na wengi ndIo anajskia yupo kwenye mapenzi sasa.

-Wengne mUda wote wanawaza mapenzi tu.

Utafiti uliofanywa na Dr. Zeki pamoja na Bartels mwaka 2000 kutoka chuo cha London na ule wa Prof. Lucy Brown kutoka chuo cha Albert Einstein mwaka 2005, uliolenga kubaini mfumo wa hisia za Mapenzi ndani ya Ubongo unavyofanya kazi, kupitia vipimo vya Magnetic Resonance Imaging (MRI) ulibaini kuwa; mtu anaweza kuwa mraibu wa mapenzi sawa na mtu ambaye anatumia madawa ya kulevya au bangi!
YES,
ni kama kilevi au kiburudisho flani tu leo uweweza kunywa nyagi ikakuchefua ukaiacha ukahamia kwa k-vant au kisungura. Lakini pia unaweza penda kunywa energy, kahawa au tangawizi ikikuzingua unahamia fanta, au mirinda n.k
 
Ni kwel kabisa na hivyo ndivyo ilivyo,japo watu wengi huwa wanaona kuwa jambo la kawaida tu
 
Mambo ya uumbaji haya unatuletea Ngonjera za utafiti

Ili ukweli wowote uthibitike huwa tunahitaji ushahidi,ikiwa wewe unaona kama tafiti hizo ni ngonjera basi unaweza kuleta kitu ambacho kina mashiko na kisicho na ushahidi kama unavyotaka wewe,na sio kukosoa Maada kwa maneno matupu.
 
aisee mwenzenu ndo kauraibu kangu mazeee....ndio tumeanza shamra shamra za valentinii
FB_IMG_1707677435476.jpg
 
Back
Top Bottom