R-K-O
JF-Expert Member
- Jun 27, 2023
- 482
- 2,138
Nina laptop yangu ni core i5 - 7th gen, Ram ni 8 gb - ddr4, storage ni 1 TB - Hdd.
laptop yangu ina vyumba viwili vya ram, chumba kimoja kwa sasa hakifanyi kazi kwahio natumia ram moja tu yenye 8GB, zamani zilikuwa nafasi mbili jumla ya ram ilikuwa 16 gb.
nimeona speed ya pc imepungua si kama mwanzoni, ram zikiwa mbili huwa zinasaidiana ila kwa sasa ram moja ndio imebeba mzigo wate.
Nimepata wazo ninunue SSD ya GB 128 iwe kwajili ya windows na software, hdd ya 1 tb iwe kwajili ya kutunza files kama movie, series, picha, pdfs, n,k.
Bajeti yangu ya SSD haizidi 120,000.