Nawezaje kufanya back up ya mafaili yangu ikiwa nina sehemu za storage mbili kwenye laptop ?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,034
kupoteza data huwa ni hasara kubwa, ni heri upoteze au uibiwe laptop ama simu lakini uwe na backup

Laptop yangu ina storage mbili

A. 128 GB SSD - Hii nimeweka window, programs na documents, ina speed kubwa sana kuzidi hdd unapowasha pc, kuperuzi mafaili, kucopy files, kusoma mafaili, n.k.

B. 1 TB HDD - Hii nimeiwekea partition 2, partition ya kwanza ni GB 800 huwa naitumia kutunza downloads, movies, series, n.k. Partition ya pili ni gb 100 nimetunza vitu vyangu kama picha, videos, vyeti, hati za mali, risiti, n.k.

Nilienda kununua external Harddisk ya GB 320 kwa lengo la kuifanya iwe backup ya SSD nzima na ile partition ya pili lwemye hdd niliyotunza vitu vyangu muhimu.

Nawezaje kuclone ssd nzima na partition moja ya hdd ?
 
kama.unataka kuhamisha operating system nzima plus program zako mbona ni rahisi tu nenda clone by sector itahamisha kila kitu kisha copy and paste vitu vyako kutoka kwenye hio partition nyingine mannually , vinginevyo labda sijaelewa unachotaka kukamilisha
 
unfortunately software ya aomei partition imeisha muda wake, naweza kupata nyingine ya bure ?
 
Tumia Clouds, "one drive".

Tumia Clouds, "one drive".

One cloud haiwezi kuclone operating syestem nzima, ni kwajili ya kutunza tu files.
 
Achana na onedrive, google cloud etc

Mimi natumia wasabi Fast, Affordable Cloud Storage & Secure Data Protection

Kama UI sio muhimu kwako nenda na Backblaze hutojuta The Best Unlimited Cloud Storage Services

Zote mbile unaweza ku automate backups, japo backblaze inakuja na .exe kwa ajili ya kurahishisha backup

Mimi nillme automate backups kwa kutumia boto3 na python script

images.jpeg.jpg
 
View attachment 2864232
hii si lazima utumie bando mkuuu.. una Data za ukubwa wa GB 200 unahifadhi vipi mara moja
 
Unataka kufanya backup kwenye cloud bila data ulisha ona wapi???,

Hata ukiwa na TB 50 zote zinakua pushed online.

Pitia AWS au Azure
 
hii si lazima utumie bando mkuuu.. una Data za ukubwa wa GB 200 unahifadhi vipi mara moja
ku back up kila wiki GB 200 na kitu online kibongo bongo sio mchezo, pia hata ukiwa na unlimited inabidi iwe speed si kitoto, pia kucline windows yote sina uhakika
 
Achana na onedrive, google cloud etc

Mimi natumia wasabi Fast, Affordable Cloud Storage & Secure Data Protection

Kama UI sio muhimu kwako nenda na Backblaze hutojuta The Best Unlimited Cloud Storage Services

Zote mbile unaweza ku automate backups, japo backblaze inakuja na .exe kwa ajili ya kurahishisha backup

Mimi nillme automate backups kwa kutumia boto3 na python script

View attachment 2864232
Inaweza ku clone disk nzima yenye windows os na software zake ?
 
Back
Top Bottom