Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,821
- 59,422
- Thread starter
- #81
Ya kwanza wanadai mwanamke ndie anabahatika, mwanaume sijui anafanyaje.Mnisadie hili.
Je muoaji na muolewaji wamebahatishana? Ikimaanisha alieolewa kabahatika na aliyeoa kabahatika.
Na ule msemo ''kuolewa ni bahati, kupata mtoto/watoto majaliwa'' una uhalisia wowote??
Ya pili naweza jibu kuhusu watoto, kweli ni majaliwa.