Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,811
- 59,367
- Thread starter
- #101
Nyie wanawake mnaotaka kuolewa na REAL MAN je. nyie ni REAL WOMEN, si vicheche.Wanawake siku hizi ni Gold digger, ndo maana mnaunga foleni kwa mwanaume mwenye fedha. Kwa nini mwanamke mwenye kipato hataki kuolewa na mwanaume asie na kipato?Kwanini mwanamke mwenye elimu hataki kuolewa na mwanaume mwenye elimu duni?wote wanataka wanaume wenye pesa au wenye elimu. wanawake amkeni, acheni kulalamika. Nina mfano, nina kazi na mshara mzuri tu wa graduate, nikawa na demu wangu nataka nimuoe, akaja mara ghafla nikasikia anaolewa na lijamaa la miaka 40, kisa tu lijamaa lina magari. sasa mwanamke kama huyo atakuwa amemchunguza hilo dume, je akija kuchakachuliwa ana haki ya kulalamika? Shame on you women who are after money. I need to marry but you women are dissappointing me!!!
MP ukiangalia tu hapa jamvini wapo wanaune wanaodai kwamba hawawezi ingia kwenye ndoa na wanawake wenye pesa au elimu zaidi yao. Kwahiyo pamoja na kwamba wapo wanawake wanaoona elimu na pesa ni kila kitu wapo wanaoona kinyume na hapo. Tatizo sasa ni kumpata mwanaume asiye na elimu/kipato sawa na dada aliyesoma na bado akawa tayari kuishi nae kama mke na mume.
Hata hivyo pole kwa yaliyokusibu. . . wa kukufaa utampata tu.