Mambo ya wax hayo.umeongea vyemaaaaaaaaaaaaaa...wape wape haoooo manake wao kwa kujifanyaga wanajua kila kitu..kumbe ata kuoga awajui...anaoga juuu tu ..chini ya pu...anapasahahu....hah hahh ukimit na sampo io inabd umwambie baba twende nkakuogeshe kdg...uvundooo puuuuuu afu anataka um...um..azam...!!!!!
Mbona magagulo yenu hamsemi?We acha tu na hizo boxer zao sasa.....mmh....utachoka!! Utamkuta mtu kainama anacheza pool boxer njenje halafu jeusii kwa ajili ya uchafu mweee!!!
wakwanza huyuuu,anza leo tena uende mbali zaid ya hapo halaaa utakosa mambo mazuri weyeeeDah,kuoga tu mpaka huko?mbona mbali?
wakwanza huyuuu,anza leo tena uende mbali zaid ya hapo halaaa utakosa mambo mazuri weyeee
Mkuu
Mi nashangaa sana hizi topic za kuongelea nyeti za wanaume.
Mtu kaiona ya mpenzi wake chafu, haisafishi basi anaigeuza thread JF.
Mara ya 4 naona hapa.
ahh na nyie mnavyowachambua wanawake apa inakuwaje?
mnaona raha ennh?
na nyie ukiona mkeo /demu wako ana mapungufu umweleze uko uko sio kuleta jf apa
yesssssssssssss ....awaoshi fresh mzigo ...boksa moja semester nzima aigus maji....
We acha tu na hizo boxer zao sasa.....mmh....utachoka!! Utamkuta mtu kainama anacheza pool boxer njenje halafu jeusii kwa ajili ya uchafu mweee!!!
Wachamungu wanasema YASHINDE MABAYA KWA WEMA
Kila kitu "Na nyie mbona mlianzisha . . . "
Hivi mfano itokee mwanaume mjinga kapost ujinga hapa JF na wewe utaamua kuwa mjinga na ukapost upuuzi??
Mambo ya wax hayo.
Mkuu
Mi nashangaa sana hizi topic za kuongelea nyeti za wanaume.
Mtu kaiona ya mpenzi wake chafu, haisafishi basi anaigeuza thread JF.
Mara ya 4 naona hapa.
Dah,kuoga tu mpaka huko?mbona mbali?
Mbona magagulo yenu hamsemi?
mbona nyie mkona msichana mmoja tu mnaleta hapa? nkuki kwa nguruwe eeh? chukua somo ndugu,hata sie tunajifunza hapa tunaenda kuongeza fito nyumba zinasimama!ukishupaza shingo itavunjika,unaweza dhani una nuksi kumbe tatizo ni dogo tu!
umenifurahisha sana, ungekuwa wa kike ww sijui ungekuwaje! hapo tu unaona mbali eeh?