Kuoga jamani

Sio wote,nyie kama mnawakuta watu wenu wako hvyo basi jueni kuwa kuna wengne wako fresh kwa usafi hata kuwazd nyie.
 
umeongea vyemaaaaaaaaaaaaaa...wape wape haoooo manake wao kwa kujifanyaga wanajua kila kitu..kumbe ata kuoga awajui...anaoga juuu tu ..chini ya pu...anapasahahu....hah hahh ukimit na sampo io inabd umwambie baba twende nkakuogeshe kdg...uvundooo puuuuuu afu anataka um...um..azam...!!!!!
Mambo ya wax hayo.
 
Mkuu
Mi nashangaa sana hizi topic za kuongelea nyeti za wanaume.
Mtu kaiona ya mpenzi wake chafu, haisafishi basi anaigeuza thread JF.
Mara ya 4 naona hapa.

ahh na nyie mnavyowachambua wanawake apa inakuwaje?
mnaona raha ennh?

na nyie ukiona mkeo /demu wako ana mapungufu umweleze uko uko sio kuleta jf apa

yesssssssssssss ....awaoshi fresh mzigo ...boksa moja semester nzima aigus maji....
 
na nyie mnavyosutaga sacos zetu inakuwaje?
muoge sasa namsafishe fresh
 
kweli kabisa,mwanaume shurt uwe safi, usinuke mdomo, kikwapa wala p. . . . U! Kuoga mara mbili sio mkeo anakugusa unanata majasho!
 
ahh na nyie mnavyowachambua wanawake apa inakuwaje?
mnaona raha ennh?

na nyie ukiona mkeo /demu wako ana mapungufu umweleze uko uko sio kuleta jf apa

yesssssssssssss ....awaoshi fresh mzigo ...boksa moja semester nzima aigus maji....

Wachamungu wanasema YASHINDE MABAYA KWA WEMA
Kila kitu "Na nyie mbona mlianzisha . . . "
Hivi mfano itokee mwanaume mjinga kapost ujinga hapa JF na wewe utaamua kuwa mjinga na ukapost upuuzi??
 
We acha tu na hizo boxer zao sasa.....mmh....utachoka!! Utamkuta mtu kainama anacheza pool boxer njenje halafu jeusii kwa ajili ya uchafu mweee!!!

ahhhh boksa ukiisimamisha inasmama dede yahuu?
 
Wachamungu wanasema YASHINDE MABAYA KWA WEMA
Kila kitu "Na nyie mbona mlianzisha . . . "
Hivi mfano itokee mwanaume mjinga kapost ujinga hapa JF na wewe utaamua kuwa mjinga na ukapost upuuzi??

dahh kweli lakin wema kwa ubaya..
bt mda mwng tulisema nyie wanaume msiseme wanawake ivi....
amjasikia lakin ppoa

na topic i muhusika alimaanisha WANAUME WAWE WASAF NA WALA HAKUMAANISHA KULIPIZA VSASI..

so mjirekebsha km vp

just wema kwa ubaya au vp bana....:A S-baby:
 
mbona nyie mkona msichana mmoja tu mnaleta hapa? nkuki kwa nguruwe eeh? chukua somo ndugu,hata sie tunajifunza hapa tunaenda kuongeza fito nyumba zinasimama!ukishupaza shingo itavunjika,unaweza dhani una nuksi kumbe tatizo ni dogo tu!

Mkuu
Mi nashangaa sana hizi topic za kuongelea nyeti za wanaume.
Mtu kaiona ya mpenzi wake chafu, haisafishi basi anaigeuza thread JF.
Mara ya 4 naona hapa.

umenifurahisha sana, ungekuwa wa kike ww sijui ungekuwaje! hapo tu unaona mbali eeh?

Dah,kuoga tu mpaka huko?mbona mbali?
 
Badala ya kuwananga we anza kwa kumuogesha wako kama nae ndo wale wale...akishazoea kusafishwa akasafika utaona nae anaanza kujisafisha mwenyewe kisawasawa .
 
mbona nyie mkona msichana mmoja tu mnaleta hapa? nkuki kwa nguruwe eeh? chukua somo ndugu,hata sie tunajifunza hapa tunaenda kuongeza fito nyumba zinasimama!ukishupaza shingo itavunjika,unaweza dhani una nuksi kumbe tatizo ni dogo tu!

umenifurahisha sana, ungekuwa wa kike ww sijui ungekuwaje! hapo tu unaona mbali eeh?

wapewape haooooooooooooooo..wajaze wajaeeeeeeeeeeee....amsafishi nanihiii afu msiambiwe nyinyi nan?MKAOGEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!
 
Kama umeiona ya bwanako sio wote tupo hivyo.
Bado kama mpenzi wako ulikuwa na nafasi ya kumuogesha.
ulikuwa unatafuta nini huko chini ya uvungu? au ulikuwa unanyonya tigo ya mshikaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom