Wasalaam JF,

Hakika Mungu wa wanaume amendelea kujiimarisha na kusambaza upendo wa kujitambua kwa akili na maarifa.

Wimbi la wanaume kukataa hadaa za ndoa kutoka kwa single mothers ni kubwa sana na linafurahisha sana.

Riporti za hivi karibuni kutoka redio mbao, hasa kwenye magroup ya mitandao na WhatsApp single mothers wanajadili namna ya kujinasua, wanamipango lukiki hasa ya kwenda kwa waganga tabora,, kigoma, gamboshi, sumbawanga.

Jihadhari pita nao njia zilezile usimzoee single mother mpaka ukajisahau.

Beware

Ni hayo tu.

Wadiz Baharia wenu
Hili swala la single mother inabidi lijumuishwe kwenye KATIBA MPYA tuwaambie kabisa ndugu zetu ukioa single mother ukipigwa tukio usilalamike na ikitokea ukalalamika utakua umevunja sheria na utapekekwa jela miaka isiyopungua 20.maana watu wametoa ushuhuda wa kutosha humu kwenye jukwaa.
 
Sijawahi kuchangia Hoja kwenye nyuzi za single mother maana nahifia nisije kuwaharibia watu deal zao. Ukweli ni heri uoe mgumba kuliko single mother. Single Mother akiingia kwenye relationship upendo wake mkubwa upo Kwa mtoto wake wa nje. Hivyo atapambana juu chini Ili kuakikisha mtoto wa nje anafaidi matunda kwako. Hata Kama watoto wakubwa atapambana kukurubuni usipoangalia Ili kuwapatia assets watoto wake wa nje. Wakiwa wadogo atataka uwasomeshe Ili wawe na Elimu Bora. Upendo Hana kwako hivyo wewe ni daraja lake la kufikia mafanikio. Pia akifanikiwa kupata mafanikio kwako haoni tabu kukutosa Ili abaki na watoto. My take wanaaume mnatakiwa kujitengenezea maisha yenu binafsi. Watoto ni Mali ya wanawake. Uzuri na thamani ya mwanaume ipo kwenye pesa tu. Hivyo ni Bora wewe uiache pesa kuliko pesa ukiache wewe.
 
Kama vile jamii inavyokuwa na msukumo wa kutokubaliana na swala la binti kuolewa na mwanaume asie kuwa na kazi au kipato na kumwambia kuwa huyo hana hadhi ya kuwa mume wala mchumba wa mwanamke yoyote then nguvu hiyo hiyo itumike kukemea vijana waosogelea mabinti waliokwisha zaa nje ya ndoa.

Jamii inalegeza kamba kwenye uzembe wa mabinti na kusema wanastahili fadhila na huruma zetu wanaume ila huwezi kuta wanatumia utaratibu huo huo pale mabinti wanapokuwa wanakutana na wanaume ambao hawapo vema kimaisha.
 
Ukitaka kuoa single mother, hakikisha umeona kaburi la baby daddy, na jina lake lisomeke vizuri kwenye grave stone.. utanishukuru baadae..
 
Kama vile jamii inavyokuwa na msukumo wa kutokubaliana na swala la binti kuolewa na mwanaume asie kuwa na kazi au kipato na kumwambia kuwa huyo hana hadhi ya kuwa mume wala mchumba wa mwanamke yoyote then nguvu hiyo hiyo itumike kukemea vijana waosogelea mabinti waliokwisha zaa nje ya ndoa.

Jamii inalegeza kamba kwenye uzembe wa mabinti na kusema wanastahili fadhila na huruma zetu wanaume ila huwezi kuta wanatumia utaratibu huo huo pale mabinti wanapokuwa wanakutana na wanaume ambao hawapo vema kimaisha.

Nahisi nimeielewa sana hii comment yako mkuu, maana kuna muda nakuwaga kati kati juu ya hili ila kwa hii comment sasa imenipa funuo zaidi Merci beaucoup Jamii Forum
 
Pole sana dogo.
Hata kama ulipewa malezi mabovu, usijali dunia tutakufunza tu.
Kafundishe mwanao, unataka umfundishe nani na ukilaza wako. Mabingwa wa feminism propaganda. Ukipata support kidogo ya hawa wanawake wenye uume unajiona smart. The real man can not entertain bogus feminism neither effemination.
 
Dogo pole sana, tafuta tiba mapema.
 
Back
Top Bottom