Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

Kama unachoka kutumia deodorants mie nakua sikuelewi unajua!ina maana hata ndevu nazo umechoka kunyoa, na kuoga nako,na kupiga mswaki nako,na kufua chupi kila unapo oga, na kupaka perfume,na kunawa uso kila unapo amka na hata kula pia nadhani itafikia siku utachoka, acha uvivu bado sikuelewi kabisa.:rant:

Hiki nini sasa!kakwambia kachoka ha ya yote uliyoolozesha?
 
Wadau naombeni msaada wa kujua dawa ya kutibu harufu ya kikwapa permanently, nimechoka kutumia deodorants daily, naomba anaefahamu dawa yeyote whether mbadala au kawaida, pliiiz, with thaks!

Jitahidi kila uogapo uoshe kwapa kwa kitambaa chepesi kilaini na sabuni ya kutosha
 
Ukiona Hivyo ujue unasumu nying mwilini, tatzo haliko liko ndani so fanya kazi ya kutoa sumu mwilini kwa kunywa chai ya kijan I mean ya mchai chai au dozi ya malimao 120 af utaona!!
 
Ukiona Hivyo ujue unasumu nying mwilini tatzo haliko liko ndani so fanya kazi ya kutoa sumu mwilini kwa kunywa chai ya kijan i mean ya mchai chai au dozi ya malimao 120 af utaona!![/QU] au akiweza atumie ile aloe vera gel kwa ajili ya kuondoa sumu mwilini,na kutibu magonjwa mengine.
 
NI UGONJWA,.UNAJULIKANA KAMA BROM-HYDROSIS,. TIBA ILIYO BORA NI SURGERY KAMA UPO BONGO NI Pm,.nitakufanyia mwenyewe
 
Kwa mtu mwenye kunuka kikwapa anitafute, nina deodorant inauzwa sh 12,000 ambayo haijawahi kushindwa kuondoa harufu kikwapa 24hr ukiipaka! piga 0769 888605
 
Tumia deodorant for deodorization mda wote n a si uchafu ni bacteria wanalate harufu kwenye kwapa ni hali ya kawaida ya binadamu, kuzuia harufu paka deodorant, mnunulie kama hajui na mfundishe kutumia.
 
Hilo tatizo la kutoka harufu kwenye kwapa deodorants nzuri na yenye kuleta harufu nzuri tena isiyo na chumvi zenye madhara za aluminium ninazo. Epuka kutumia hizo deodorant za kununua zenye Aluminium salts sbb watu hudhani ni njema sbb zinazuia jasho kutoka kumbe hawajui madhara yake. Huwa zinaziua vinjia kwenye ngozi na baadaye kutengeneza kansa.
Tuwasiliane kwa msaada zaidi. ishealthy@hotmail.com
 
Kuna baadhi ya wajuvi wa mambo wanasema majimaji ya ukoko wa ugali yanasaidia kuondoa tatizo hilo. matumizi ni kujipaka maji hayo mara kwa mara makwapani.
 
pole sana....naweza nikakwambia kuwa hali uliyonayo kwa sasa naielewa na kero zake pia...hiyo inaitwa hyperydrosis (sina uhakika kama nimepatia spelling) kwa hiyo unaweza kutumia kitu kinaitwa Driclor,hii unapaka usiku tuu,na inapatikana kwenye pharmacy kubwa kubwa,kama utahitaji maelekezo zaidi igoogle, na ukiitafuta ukiikosa nitafute

Kwa wenye hilo tatizo hiyo dawa ni ya ukweli sana tu,binafsi nimeipata na imenisaidia sana,PRETA MUNGU AKUBARIKI,kwani jasho limekata kabisa
 
Kwa wenye hilo tatizo hiyo dawa ni ya ukweli sana tu,binafsi nimeipata na imenisaidia sana,PRETA MUNGU AKUBARIKI,kwani jasho limekata kabisa

Mkuu wangu nafurahi sana kuona Preta amekusaidia na tutaendelea kusaidiana kwa kila namna wala usijali mkuu anytime unakaribishwa....
 
Last edited by a moderator:
papizo mungu akubariki kwa ushirikiano ulionipa mpaka nimeipata,yani imekausha jasho kabisa

Asante sana mkuu wangu muda wowote unakaribishwa na tutasaidiana kwa namna yoyote ile....Naona sasa hivi atleast unavaa shati na unajisikia vizuri kabisaaa.....
 
pole sana mkuu najua kikwapa kinasumbua sana wanaume hata wadada pia binafsi nilikuwa nina kikwapa hadi vinyweleo vinakuwa vyeupe kama mvi vinatokea na nilikuwa sivai nguo kama siglend mara 2 na nilikuwa natumoa deodorant kama nivea azijanisaidia wala nini
USHAURI HUU
deodorant nyingi zina madini ya aluminium yanayosababisha cancer hasa kwa dada zetu wanapendaa kutumia wanapata cancer za maziwa
sasa hivi hali hiyo imeniishia kabisa ilinichua kama wiki tatu tu kupona kuna deodant inauzwa 12000/= tu with no aaluminium if your serios find me on this number 0683 672508
 
Pamoja na kutumia dawa za kuondoa bacteria, akikisha nywele za kwenye makwapa zinaondolewa itasaidia kupunguza uchafu wa jasho ktk makwapa.
 
Back
Top Bottom