Naomba nisaidiwe tiba ya harufu kali ya kikwapa

Messijoh

Member
Jan 5, 2023
40
39
Nina tatizo la harufu kali ya kikwapa kiasi cha kunikosesha amani na kutokujiamini mbele za watu.

Nimejaribu kutumia njia karibu zote za asili kama kujisafisha na limao, ndimu, maji ya ukoko wa ugali, mchele etc lakini hazijaweza nisaidia kitu.

Kuhusu suala la kuoga wala sina tatizo kutwa naonga mara mbili Asubuhi na jioni lakini hata nikitoka kuoga nikitembea dk 5 harufu fulan inaanza kusikika
 
Chochote unachofanya kinatakiwa kiendane na unywaji wa maji meeengi kila siku. Baada ya miezi kadhaa, hiyo hali itapotea au kupungua.
 
Nina tatizo la harufu kali ya kikwapa kiasi cha kunikosesha amani na kutokujiamini mbele za watu.

Nimejaribu kutumia njia karibu zote za asili kama kujisafisha na limao, ndimu, maji ya ukoko wa ugali, mchele etc lakini hazijaweza nisaidia kitu.

Kuhusu suala la kuoga wala sina tatizo kutwa naonga mara mbili Asubuhi na jioni lakini hata nikitoka kuoga nikitembea dk 5 harufu fulan inaanza kusikika
Nyoa kwapa
 
Unavuta sigara ,kunywa pombe au sio mnywaji wa vitu vye majimaji sana.
jaribu kunywa maji sana taka mwili ziondoke au nenda kwa wale wanaouza dawa za suna upate vile vipunje usafishe sumu na mafuta
 
Kitabibu harufu kali ya jasho inaweza kuwa ni ishara ya matatizo mbalimbali ya mwili, kama bacteria kwenye ngozi yako, figo kutokufanya kazi vizuri, ini kuto kufanya kazi vizuri, kisukari etc.
Nenda hospitali wakufanyia vipimo ili wajue tatizo ni nini.
 
Nitafuata huu ushauri wako
 
Unavuta sigara ,kunywa pombe au sio mnywaji wa vitu vye majimaji sana.
jaribu kunywa maji sana taka mwili ziondoke au nenda kwa wale wanaouza dawa za suna upate vile vipunje usafishe sumu na mafuta
Sivuti sigara wala pombe sinywi, labda nijitahidi kunywa maji mengi,
 
Nywele za huko huwa unanyoa?
Nyoa halafu paka deodorant
Nanyoa vizuri sana, deodarant nilikuwa napaka nivea, mwanzoni inakuwa fresh tabu inakuja pale ambapo nimetokwa na jasho harufu ikajichanganyana nayo
 
Back
Top Bottom