Kabisa yaani inafanya kazi mara moja na mimi imenisaidia sana sio kidogo
Nilitaka kumwambia hivyo hivyo lakini umeshamaliza zinapatikana kwenye baadhi ya pharmacy sio zote coz kuna wengine hata hawazijui.....kama yupo Arusha aniambie nimuelekeze mahali pa kuipata......ni nzuri sana na inafanya kazi mara moja
unaweza kuniambia ww ulinunua wapi mana nimeitafuta zenji hadi nimechoka cjaipa
Km yuko anaefaham wapi ntapata DRICLOR naomba anambia hasa kwa hapa DAR
Km yuko anaefaham wapi ntapata DRICLOR naomba anambia hasa kwa hapa DAR
Habari wanaJF Doctor,
Naombeni msaada wenu kwn kuna msichana ambaye ni jirani yng,anasumbuliwa na tatizo la kunuka kikwapa.Amejaribu kutafuta tiba lakini wapi? Huwa anajitaidi kuoga hata mara tatu lakini kitendo cha kutoka bafuni hadi chumbani tayari harufu inaanza kutoka.nilihuzunishwa na tatizo hili kwn hata marafiki zake wanamtenga na mkumsema. Naombe madocta wa JF mtoe msaada kwa anayejua tatizo hili linasababishwa na nini na tiba yake nipi.asanteni
The_Emperor kwani wewe mgeni JF?Inaelekea huyu ndiye mhusika!Huyo jirani yako akitoka kuoga huwa unamsubiria mlangoni?