Kuna uhusiano wowote kwenye hili???

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,584
8,608
Je nikweli ukitoka nje ya ndoa yako basi nawewe ujue kuna wanaotoka na mkeo/mumeo??Kama nihivyo basi wanawake ndo wakulaumiwa kwa hili kwakuwa wao ndo wanaotengeneza huu mzunguko!!
 
Je nikweli ukitoka nje ya ndoa yako basi nawewe ujue kuna wanaotoka na mkeo/mumeo??Kama nihivyo basi wanawake ndo wakulaumiwa kwa hili kwakuwa wao ndo wanaotengeneza huu mzunguko!!

Lamawa zinaenda kwa yeyote yule anayetoka. Haijalishi kama ni mume au mke (ingawa wapo wanao rationalize uzinifu wa wanawake).

At the end of the day, cheating is cheating no matter who does it.
 
Wanawake tuna kazi.... We have a long way to go....

In most cases in kweli aweza laumiwa mwanamke.
 
Kila mtu na awajibike kwa matendo yake. Men are good at lame excuses, akitoka nje huko analalamika mkewe ndo anamsababisha atoke with a million excuses! Ngoja yeye atendwe sasa, sinema ndo zinazidi!
 
Kila mtu na awajibike kwa matendo yake. Men are good at lame excuses, akitoka nje huko analalamika mkewe ndo anamsababisha atoke with a million excuses! Ngoja yeye atendwe sasa, sinema ndo zinazidi!

Touche King'asti!

Watu ni watovu sana wa uwajibikaji! Mtu anacheat halafu anaanza kusema 'wewe ndo umenifanya nicheat'.....people like that I just wanna smack 'em upside the head!

Fcukin' ******.
 
Duh! Sina uhakika sana na hilo, mimi nachojua nikitoka nje basi nimetoka kwa tamaa zangu mwenyewe.
 
Mi nilishasema, uaminifu ni kama dini. Option ni mbili tu, uwe muumini au si muumini.
Hakuna kuwa vuguvugu.

Hata mtu afanye nini hawezi kusababisha na wewe ucheat kama ni muumini wa uaminifu.
Na kama si muumini wa uaminifu, hata kijiko kikianguka ndani unaenda kujilipa nje ya ndoa.
 
Yaani watu bwana, sasa wewe umecheat utasemaje tena ni mkeo. Kaaz kwel kwel.
 
Kutokujua sheria haimanishi wewe utende kosa, hali kadharika kosa la mwenzako halikupi wewe halali ya kukosea.
 
Kakakiza ! Thread yako swali ulilo uliza ndiyo jibu then it's MAIN jibu. Mume ukienda kando, ni kweli mkeo ataliwa kando. Full-stop
 
mkuu nimekutana nao njianai kibaao wanakuuuja kwa kasi huko kwa huu uzi,angalia ngumi isijetokea kwenye monitor ya PC yako
 
Duh! Sina uhakika sana na hilo, mimi nachojua nikitoka nje basi nimetoka kwa tamaa zangu mwenyewe.

Wewe ndio mwanaume/mwanamke wa ukweli; tofauti na wewe wengine ni nakala tena ile ya carbon!
 
Malipo hapahapa duniani , na kama ukienda nje lazima ujue unabakiza deni ambalo lazima ulipe kwa usawa uleule uutendao so lazma mwenzi wako atakwenda pia si mwanamke wala mume mtajikuta mnaambiana tu *mbona we huwa unafanya mi sisemi* tuwe makini
 
Kila mtu na awajibike kwa matendo yake. Men are good at lame excuses, akitoka nje huko analalamika mkewe ndo anamsababisha atoke with a million excuses! Ngoja yeye atendwe sasa, sinema ndo zinazidi!

Yaani wanaume r true sons of Adam; aliyemlaumu Mungu kwa kumuumbia mwanamke, kwa kosa lake la kutomtii Muumba wake!
 
Kakakiza ! Thread yako swali ulilo uliza ndiyo jibu then it's MAIN jibu. Mume ukienda kando, ni kweli mkeo ataliwa kando. Full-stop

Sio lazima! Mwanaume anaweza akafanya hivyo akijua anasalitiwa lakini ni very rare case kukuta mwanamke kamlipizia mumewe kwa kutembea nje...na utakuta sio hulka yake,kashauriwa na shosti wake...
 
Je nikweli ukitoka nje ya ndoa yako basi nawewe ujue kuna wanaotoka na mkeo/mumeo??Kama nihivyo basi wanawake ndo wakulaumiwa kwa hili kwakuwa wao ndo wanaotengeneza huu mzunguko!!
Ukitoka nje ya ndoa laana yake inakufuata maishani kwako kote. Niliwahi kusikia simulizi hii:
Kama ulilipa, wako watabanjuliwa bure.
Kama ulibanjua kitandani, wako atabanjulia msingini.
Kama ulifanya kwa siri, wako atafanywa dhahiri (ili uone na kujua uchungu/utamu wake).
Kama ulitongoza, wako atajitongozesha.
 
Duh! Lakini ujue kuna wanaume wameumbwa bila wivu kabisa! Nakumbuka kuna mshkaji aliwahi kumfumania mkewe live guest akitafunwa. Alichofanya akamwambia wife vaa then tangulia kwenye gari tutayamaliza nyumbani, then akamwambia mwizi wake, usiogope najua sio kosa lako, kwasababu wewe ulimtongoza na yeye akakubali kwa hiari yake. So vaa then wahi home. Wapambe wakataka kumla tigo yule mwizi, mshkaji akawakataza kabisa, then akawadakisha mpunga kila mtu akasambaa.
Jamaa akaenda kwenye gari akaenda zake home na wife wake. Hakumuuliza kitu, tena akaongeza mapenzi, japo na yeye ni underground player. Baada ya two weeks wife akakimbilia ukweni kwenda kujistaki mwenyewe. Wazazi wakamuuliza jamaa, jamaa akawaambia wamwambie wife wake arudi home fasta ana mmiss sana, na hakuna zengwe lolote.
Umeiona hiyo? Na mpaka leo mshkaji na wife wake wako happily married.
 
Back
Top Bottom