Tendo la Ndoa kwenye Mahusiano

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,415
7,968
Kila dini ina maelekezo yake juu ya tendo la ndoa,miongoni mwa wanandoa, kila kabila lina utamaduni wake kuhusu tendo la ndoa.

Jambo la muhimu sana kwa wanandoa, ni kwamba wanafunga ndoa ili kupata watoto ili kuendeleza ukoo au kujaza dunia.

Hivyo tendo la ndoa lina umuhimu mkubwa sana kwenye maisha ya wanandoa, lina uzito wa asilimia 90 kwenye maisha ya ndoa. Kama hivyo ndivyo, basi wanandoa bila kujali dini, kabila au kipato kushiriki tendo la ndoa ni muhimu sana.

Hivyo, tendo la ndoa lina faida zifuatazo:
1. Burudani miongoni mwa wanandoa, mnapotenda mnaburudika sana
2. Furaha, mnapolitenda vizuri nyumba yenu itajaa furaha kubwa sana, kila mmoja atamfurahia mwenza wake.

3.Watoto, mtazaa watoto ambao watazidi kuongeza furaha, kwenye nyumna yenu.

Kwahiyo ni kweli, ni wajibu wa wanandoa kufanya yafuatayo:
1. Kujifunza mbinu mpya na staili mpya mpya za kulitenda tendo la ndoa, na nyote 2 mshirikiane,ama kusoma vitabu ama kuangalia chaneli zinazofundisha.

2. Kila mfanyapo tendo hili msitumie chini ya saa 1 ambapo mtashiriki romance kijiandaa na mkiwa wote mmetepeta, ndio muingiliane kwa staili, zisizopungua 4 kwenye tendo moja.

3. Wakati mnatenda tendo hilo muwe mnaongea msifanyane kimyakimya,na kama ni usiku msizime taa, ili kila mmoja auone uchi wa mwenzie vizuri sana.

Na kwenye kuongea ikitegemea mlianzana vipi kuna wengine huwa wanatukana vibaya, kama na nyie mpo kwenye mkumbo huu basi mtukanane sana, kuna wenzine hasa wanaume hutoa sifa kwa mama mzazi wa mkewe, mfano wakati wa kuachia mshindo,unamsifia mama mkwe na unamwambia: oh mama oh mama,asante mama,sasa nampa mwanao mzigo mama.

4. Mapumziko katikati ya gemu,yes mapumziko katikati ya gemu ni muhimu mno ili mjitathmini mlivyofanyana, kwa kutegemea utamaduni wenu, kwa wanaokunywa pombe basi mnapiga pombe kidogo, na kwa wasio kunywa mnaweza kunywa maji au juice.

5. Mkimaliza hii awamu ya pili mwanaume usitoke kwenye uchi wa mkeo, baki dakika 10 huku mnanyonyana na ndimi na kusifiana,na mwanaume ukitoka, mbusu mkeo,huku unamnyonya kila kila mahali na umalizie kwenye uke wa mkeo uunyonye sana, vivyo hivyo mke nae ambusu mmewe na kisha aunyonye uume wa mmewe,ndipo mmalize gemu.

Mkifanya hivi mtaishi kwa amani, furaha, upendo, uvumilivu na maendeleo makubwa.

Asanteni sana, kumbukeni bado naendelea na kuwakutanisha watu wanaotaka kuoana.
 
Back
Top Bottom