Je nikweli ukitoka nje ya ndoa yako basi nawewe ujue kuna wanaotoka na mkeo/mumeo??Kama nihivyo basi wanawake ndo wakulaumiwa kwa hili kwakuwa wao ndo wanaotengeneza huu mzunguko!!
Kila mtu na awajibike kwa matendo yake. Men are good at lame excuses, akitoka nje huko analalamika mkewe ndo anamsababisha atoke with a million excuses! Ngoja yeye atendwe sasa, sinema ndo zinazidi!
Duh! Sina uhakika sana na hilo, mimi nachojua nikitoka nje basi nimetoka kwa tamaa zangu mwenyewe.
Kila mtu na awajibike kwa matendo yake. Men are good at lame excuses, akitoka nje huko analalamika mkewe ndo anamsababisha atoke with a million excuses! Ngoja yeye atendwe sasa, sinema ndo zinazidi!
Kakakiza ! Thread yako swali ulilo uliza ndiyo jibu then it's MAIN jibu. Mume ukienda kando, ni kweli mkeo ataliwa kando. Full-stop
Ukitoka nje ya ndoa laana yake inakufuata maishani kwako kote. Niliwahi kusikia simulizi hii:Je nikweli ukitoka nje ya ndoa yako basi nawewe ujue kuna wanaotoka na mkeo/mumeo??Kama nihivyo basi wanawake ndo wakulaumiwa kwa hili kwakuwa wao ndo wanaotengeneza huu mzunguko!!
Ukitoka nje ya ndoa laana yake inakufuata maishani kwako kote. Niliwahi kusikia simulizi hii:
Kama ulilipa, wako watabanjuliwa bure.
Kama ulibanjua kitandani, wako atabanjulia msingini.
Kama ulifanya kwa siri, wako atafanywa dhahiri (ili uone na kujua uchungu/utamu wake).
Kama ulitongoza, wako atajitongozesha.