Kuna nini?? Nishaurini jamani

I think it was and it is not meant for you. Jipange upya na uangalie kama kweli itafanya kazi na inawezekana Mungu anakuepusha na mengi so be careful brother
Ikitokea ukatukuta wote tumetoka out utajua moja kwa moja kuwa tunapendana sana. Hata marafiki zangu wanasema tunapendana sana na huyo mrembo; lakini tatizo linakuja kwenye kukamilisha
 
Ikitokea ukatukuta wote tumetoka out utajua moja kwa moja kuwa tunapendana sana. Hata marafiki zangu wanasema tunapendana sana na huyo mrembo; lakini tatizo linakuja kwenye kukamilisha

Kinachokamilisha kupendana kwenu ni kile kitendo so kama hakipo huwezi kusema kuw anyie ni wapenzi mtaishia kuwa kaka na dadea tuu
Mradi tuu hamjavuana nguo basi ni kaka na dada
 
Sasa nitajaribu mara ya mwisho niote itakuwaje.
Kinachokamilisha kupendana kwenu ni kile kitendo so kama hakipo huwezi kusema kuw anyie ni wapenzi mtaishia kuwa kaka na dadea tuu
Mradi tuu hamjavuana nguo basi ni kaka na dada
 
Imepita miaka kama mitatu hivi niko katika urafiki na bibie lakini hatujawahi kuwa wote kwenye 6 x 6. Mara ya kwanza nilipanga naye lakini baada ya kupata kilaji sawasawa mi mwenyewe niliondoka pasipo kumuaga akabaki kwenye room peke yake. Mara ya pili akaniita yeye, kama kawaida tukaongea kwa nini niliondoka, sikuwa na sababu ya msingi - tukapanga siku ya kutimiza ahadi. Ilipofika siku nikamkuta kwenye eneo tayari ameishachukua na chumba - akapigiwa simu akaondoka na kuniacha na mafunguo ya hotel. Imekuwa ikitokea hivyo mara kwa mara, jana mapumziko ya 8/8 tukakubaliana kuonana tukaonana, imefika mida ya usiku tukatoka wote kwenda ku-do; historia imejirudia vilevile, nashindwa kujua ni kwa nini.... kuna ambaye iliwahi kumtokea?

Mzee ulishawahi kufanya any convenant like sitado mpaka .... au ...Mzee yaani hiyo imekataa.
 
Yaonekana ni hivyo m2 wangu
Out of topic
Rekebisha signature yako kuna herufi imesahaulika hapo kwenye neno "mmambie"

Jiangalie sana mkuu kabla ya kuamua kudo nae usije ukaingia kweyne mtego usiotokeka
 
Out of topic
Rekebisha signature yako kuna herufi imesahaulika hapo kwenye neno "mmambie"

Jiangalie sana mkuu kabla ya kuamua kudo nae usije ukaingia kweyne mtego usiotokeka
NImemaliza kuongea naye sasa hivi - naye anashangaa ni kwa nini tunachengana dakika za mwisho
 
Ndg yangu, hapo ni indication kwamba Mungu hapendi mfanye tendo hilo kabla ya ndoa, hivyo ni vema mkafunga ndoa kwanza ndio muwe huru kufanya tendo hilo, Mungu anawapenda wote ndio maana hataki mfanye dhambi hiyo
 
Muiingizie mkuyati huyo dogo wacha kuremba,kama unaogopa hizi ndomu za sasa maana zinaburst balaa,tumia marlboro umkunjie dogo huyo wacha kuremba!
 
nafikiri hii imewahi mtokea kila mwanaume

sio kama yako moja kwa moja but somehow
 
Sometimes mambo hayo muhimu ndg yangu. Hata yeye amenipigia sm ananiuliza ni kwa nini
Hakuna umuhimu wowote wa kuzini. na ndiyo maana huwa hamfanikishi, maana ingekuwa ni muhimu kama kula kingeeleweka tu.
 
mtarimbo una usalama kweli hapo? eti nilikunywa nikaondoka bila kuaga!!!!! ulishawahi ku-do tena au ndio unataka uanze kujifunzia hapo kwa huyo mwenzio?
 
Kimbia kaka, hivi unataka Mungu akuonyesheje? you are lucky guy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom