Kuna mtu kaniuliza hili swali jamani, anataka msaada wa Mawazo yenu. Maji yamemfika shingon

Kwani wewe huwa husamehi hata mara moja?
Hebu chukua nafasi ya huyo mwanamke wewe, ungependa ufanyiwe vipi, kwa kosa la kwanza??
Mimi siwezi kumsemea mtu mwingine. Kwa kifupi kama mke wangu akinifumania na akaamua kuniacha kwa mara ya kwanza mimi nitamuelewa vizuri tu, na pia akiamua kunisamehe ni poa tu maana ni uamuzi wake. Ila mimi kwangu, mara moja tu ni kadi nyekundu hakuna discussion.
 
huyo rais haruhusiwi kugombea mihula mitatu ,ije kuwa kuibiwa waifu wako mara tatu? khaaa! huyo jamaa inaonesha unaweza ukamwambia "niitie mkeo" na "akamuita" . nashangaa huyo mke ana dental formula yake kamili na anapeta mpaka mida hii.

Ona Klorokwini, unajua jamaa kinamuuma ukweli. Hajui hata aanzie wapi kumuacha yani.
Hebu mpe njia, ndo hivyo hajui, hata kama alitakiwa kujua, lakini hajui pa kuanzia.
Hebu soma haya maneno yake.

Nampenda na Kumjali sana mke wangu kuliko maelezo. Kila anchohitaji anapewa na ziada. Movement zangu zote anazielewa na kila nifanyalo. Ni Mwanaume mwenye Staha na hadhi kwa jamii na Kanisa
 
Tatizo ni kwamba huyo mwanamke hamjali yeye!!!Mwambie mwanaume aamke....anabembeleza huyo mwanamke kwani ameambiwa wameisha???
 
Mimi siwezi kumsemea mtu mwingine. Kwa kifupi kama mke wangu akinifumania na akaamua kuniacha kwa mara ya kwanza mimi nitamuelewa vizuri tu, na pia akiamua kunisamehe ni poa tu maana ni uamuzi wake. Ila mimi kwangu, mara moja tu ni kadi nyekundu hakuna discussion.

Nimekuelewa kaka angu.
Be blessed.
 
Tatizo ni kwamba huyo mwanamke hamjali yeye!!!Mwambie mwanaume aamke....anabembeleza huyo mwanamke kwani ameambiwa wameisha???

Naona hapo ndipo anapotakiwa kupata ukombozi huyu jamaa!!!
Ifike mahali ajiamini tu, inauma lakini, kwa kweli kwa mwanamke ni too much aisee.
 
Ona Klorokwini, unajua jamaa kinamuuma ukweli. Hajui hata aanzie wapi kumuacha yani.
Hebu mpe njia, ndo hivyo hajui, hata kama alitakiwa kujua, lakini hajui pa kuanzia.
Hebu soma haya maneno yake.

Nampenda na Kumjali sana mke wangu kuliko maelezo. Kila anchohitaji anapewa na ziada. Movement zangu zote anazielewa na kila nifanyalo. Ni Mwanaume mwenye Staha na hadhi kwa jamii na Kanisa
LD kipenzi mahabuba habibi chokolet, kuachana bila sababu ndio ngumu ila huyu mwanaume tayari ana zaidi ya sababu ya kuachana na waifu wake.
tukija kwenye suala la mapenzi, ni lazima akubali kuwa against na moyo wake adhawaizi hata huyo mdada atamchukulia bwana wake ni mzembe tu na trust me ataendelea kucheat mpaka yesu arudi. Mwambie jamaa ujasiri siku zote hausikiliziwi mshindo. Sio wa kwanza yeye kuumizwa na mapenzi, achukue hatua kisha aupe muda uamuzi wake ili apate kupona baada ya machungu. Kama kweli anampenda mke wake naamini machungu ya kusalitiwa na unayempenda ni machungu kuliko machungu ya kuachana nae.
 
Nimekupata kabisa, nitampelekea huu ujumbe fasta!!!
Isije kuwa yy ndo chanzo cha tatizo bwana.

OK, kwa maana ingine Renegade, sio rahisi mwanaume akusamehe pale anapokufumania sio?

Anyway, Siwezi kuwasemea wanaume wenzangu, ngoja nijisemee mwanaume mimi, Zamani Enzi za Uvulana ilikuwa nikigundua kuwa GF anacheat huo ndio unakuwa mwisho wa uhusiano wetu,Lakini kwanza lazima nijue kwanini alifanya hivyo, ili niweze kusaidiika katika siku za mbele, lakini inakuwa ndio mwisho,Mimi katika hili sina uvumilivu.Lakini pia katika Imani kwenye ili tumeambiwa unaweza kuacha mwenza, Mungu anajua kuwa Mwanadamu hana uvumilivu sana katika hili, Lakini Pia wanaume wengine wanaoa wake huku wakiwa na Imani kwamba wakiwaacha hao hawawezi kuwapata wenza wazuri kama hao, katika fikra tu. Kimsingi mwanamke anayecheat na kucheat huyo hamfai mtu yoyote, Kimsingi hawezi kushinda Tamaa zake, Kuna mtu mahali alisema kuwa hapo ni pale alipokamatwa! Je ni mara ngapi amefanya bila kukamatwa, Kwa mantiki hiyo ni ngumu kuendelea kusamehe samehe.
 
  • Thanks
Reactions: LD
Kuna kusamehe kisha kila mtu aendelee na maish ayake; lakini kuna kusamehe na kuchagua kukaa naye tena, hapo halieleweki; ila kama ni kusamehe, basi biblia inasema hata saba mara sabini but haisemi lazima watu wasioaminiana wakae pamoja...mmmmmmmmhhhhhhhh hiyo ngumu jamani na in real life mwanamume atakusamehe kweli mata tatu na kisha aendelee kuishi na huyo mwanamke asiyeheshimu ndoa? Duh, huyo jamaa atakuwa labda does not function or labda ana mapungufu ya akili.....but not a real man....wacha kusameheme, atakufanyia kitu kibaya sana for such betrayal
 
Embu mprintie hili lithread lote umkabidhi!!!!
huyo jamaa inaonesha hata akiprintiwa atasema JF wasimuingilie katika maamuzi yake. huyu anaapply kwenye ile sredi yako ya ving'ang'anizi. Tuongezeni maombi jamaa astuke
 
  • Thanks
Reactions: LD
Tatizo ni kwamba huyo mwanamke hamjali yeye!!!Mwambie mwanaume aamke....anabembeleza huyo mwanamke kwani ameambiwa wameisha???

...mnh, Lizzy slow down. Ushauri huu unaendana na umri wa watu.
Kuna umri wanaisha bana. Umri ulio "alasiri kuelekea magharibi" inakuwa shughuli kuanza kupenda tena.

Kumbuka, kupenda kunahusisha kujenga msingi, kuta, paa na kwenye; ...urafiki > uaminifu > mazoea >
mapenzi > kushirikiana > kuheshimiana > kufahamiana > nk... na yote haya yanahitaji muda.
 
Nampenda na Kumjali sana mke wangu kuliko maelezo. Kila anchohitaji anapewa na ziada. Movement zangu zote anazielewa na kila nifanyalo. Ni Mwanaume mwenye Staha na hadhi kwa jamii na Kanisa
[/B][/COLOR]

Mkuu kama kweli unajua bibilia, je, do you know the sin of committing adultery in the bible? Proverbs 5;3-9 and 5:32 pia Hebrews 13:4
Huyo mkeo most probably analo pepo la ngono. you have to do something, stop pretending, you may be killing yourself slowly. Utakuta kwamba kila ukimuona mkeo na mwanaume you end up thinking tofauti thus mapigo ya moyo hubailika with immediate effect nae kwa uwoga mkeo (hopefully) atakutambulisha kwa huyo workmate wake ila kutokana na hali ya uwoga still utakua na wasiwasi. Man hapo mimi naona unakufa pole pole. Maombi ndio jibu.
 
Embu mprintie hili lithread lote umkabidhi!!!!

Huo ndio mpango Lizzy.
Yani hapa nipo kikazi zaidi yani, more than serious.
Maujumbe yote haya atayapata vizuriiiiiii!!!!
 
Hivi kama mume wako anakupenda na kukujali kwa kila kitu kisha huko nyuma hukuwa mwaminifu na ukakubali na akakusamehe. ukarudia tena mara 2 au tatu na akakuonya na kukusamehe. Je akikukukuta tena una mahusiano nje ya ndoa akufanye nini?

Mbarikiwe sana.
Nimesahau kuanza na Salamu, ila nina Imani nyote hamjambo. Karibuni kikombe cha chai hapa. Haya tunaomba msaada wa mawazo wapendwa.
Kama mnawatoto wanao hitaji malezi ya baba na mama, dawa kubwa ya kufanya ni kukaa KIMYA baada ya kumuona amerudia kosa kwa mara ya tatu, kukaa kimya sio kumnunia, kukaa kimya unapofanyiwa jambo ambalo sio la kiungwana ni silaha kubwa ya maangamizi maana huenda kupiga ndani ya nafsi ya mtenda kosa. Hivyo kama ana akili timamu atajirudi mwenyewe
 
Hujatimia na hauko mkamilifu kwani uwanja wa mazoezi huo uchezewe na kila mtu na wewe unasamehe tu umelogwa wewe
Mbona unashikilia sana kulogwa, nafikiri siku ukiwa umekosa mumeo akakusamehe you will go back and start saying amelogwa
 
Mkuu kama kweli unajua bibilia, je, do you know the sin of committing adultery in the bible? Proverbs 5;3-9 and 5:32 pia Hebrews 13:4
Huyo mkeo most probably analo pepo la ngono. you have to do something, stop pretending, you may be killing yourself slowly. Utakuta kwamba kila ukimuona mkeo na mwanaume you end up thinking tofauti thus mapigo ya moyo hubailika with immediate effect nae kwa uwoga mkeo (hopefully) atakutambulisha kwa huyo workmate wake ila kutokana na hali ya uwoga still utakua na wasiwasi. Man hapo mimi naona unakufa pole pole. Maombi ndio jibu.

So unamshauri aendelee/aombe/amuombee mke wake tu?
Asimuache kwa sasa? Maana ana mpango wa kumuacha ila hajui aanzie wapi, kuiambia jamii yake anamuacha mke wake,
kisa kamfumania, anamuonea huruma mkewe huyo, manake ni aibu kubwa ujue. Unarudishwa kwenu na na ushahidi mzito wa kufumaniwa,
Dah, kipenzi cha moyo wake, mama wa watoto wake, mtu aliye/anayempenda kwa dhati.
Inauma Aisee!!!
 
Kama mnawatoto wanao hitaji malezi ya baba na mama, dawa kubwa ya kufanya ni kukaa KIMYA baada ya kumuona amerudia kosa kwa mara ya tatu, kukaa kimya sio kumnunia, kukaa kimya unapofanyiwa jambo ambalo sio la kiungwana ni silaha kubwa ya maangamizi maana huenda kupiga ndani ya nafsi ya mtenda kosa. Hivyo kama ana akili timamu atajirudi mwenyewe

So akae kimya halafu aendelee kuishi naye kama mke na mume?
Huo ukimya si ndo utampa uhuru zaidi. Kwa nini asiwe huru akiwa na uhuru wake nje ya familia ya huyu jamaa?
 
Back
Top Bottom