Kuna mtu kaniuliza hili swali jamani, anataka msaada wa Mawazo yenu. Maji yamemfika shingon

Hahaha tena shule ya nguvu kwanza nitaanza kumpiga makofi kwann atomb*** mara hote hizo anamsamehe lol anajitia aibu bwana

MR, huna huruma wewe Lol!!
Mwanamke mwenzio huyo!!
 
Duuh mara tatu? basi ampeleke kwa babu kwanza akatibiwe hapo chance ya kale kamjamaa ni kubwa. ampeleke akatibiwe kwanza.
 
MR, huna huruma wewe Lol!!
Mwanamke mwenzio huyo!!

Nina huruma dia itaniuza zaidi kumuona mbaba unaletewa maradhi na mtu ambae unajua ana chakachuliwa nje!!! tumwambie amsamehe dia!! hakuna mapenzi hapo zaidi jamaa kapenda asipo pendeka na labda mke pakendea mkwanja!!
kwanza tunaomba kabila zao lol..
 
Nina huruma dia itaniuza zaidi kumuona mbaba unaletewa maradhi na mtu ambae unajua ana chakachuliwa nje!!! tumwambie amsamehe dia!! hakuna mapenzi hapo zaidi jamaa kapenda asipo pendeka na labda mke pakendea mkwanja!!
kwanza tunaomba kabila zao lol..

Mapenzi hayana kabila bwana MR!!
Cha msingi hapa jamaa aamue tuuuuuu..............
 
huyo rais haruhusiwi kugombea mihula mitatu ,ije kuwa kuibiwa waifu wako mara tatu? khaaa! huyo jamaa inaonesha unaweza ukamwambia "niitie mkeo" na "akamuita" . nashangaa huyo mke ana dental formula yake kamili na anapeta mpaka mida hii.

Kabisa mkuu
Tena anaambiwa kabisa "nimekuja kumpitia tuende coco bichi"
Ni zaidi ya mume bwe ge
 
Hivi kama mume wako anakupenda na kukujali kwa kila kitu kisha huko nyuma hukuwa mwaminifu na ukakubali na akakusamehe. ukarudia tena mara 2 au tatu na akakuonya na kukusamehe. Je akikukukuta tena una mahusiano nje ya ndoa akufanye nini?

Mbarikiwe sana.
Nimesahau kuanza na Salamu, ila nina Imani nyote hamjambo. Karibuni kikombe cha chai hapa. Haya tunaomba msaada wa mawazo wapendwa.

talaka tu.
Kila siku usamehewe wewe tu.
 
Nadhani mwanaume atakuwa hamridhishi tatizo hilo mwanamke na mwanaume wote wanalijua na ndio maana mwakanamke anatoka nje km sio hivyo sioni sababu ya kutoka nje ya ndoa. nashauri wakae waongee kuhusu matatizo yao watapoona matatizo wamtembelee babu wa Loliondo.
but if its me no more chance from the first mistake
 
Kha! huyo asha fanya pipi anakosa nini kwa huyo mme wake mpaka anaonja onja alikubali kuolewa kwa nini? Si angebaki kuwa cha wote tu ili ajiridhishe tu?
Hivi vitu vina Hati Maliki eti.....Ukishajimilikisha kwa mtu matumizi ni kwa muhusika na si vinginevyo Mara tatu ni More than Much,
Hata msamaha unakua hauna maana na Trust inapotea, Sasa akipoteza kuaminiwa ndoa inakua haina maana swal ahapo nadhani
Apewe Likizo ndefu.
 
Msamaha kwa uzinzi hapana dada hiyo ngumu mno.
Akileta magonjwa huo msamaha utasimamia upande gani
 
Haya mambo si rahisi kuyafikiria kabla halijakukuta. Na wale wanaoshauri kwamba angekuwa ameachwa kitamboo ndio haohao huwa hawafanyi hayo maamuzi magumu yakiwakuta ya kuwakuta. cha muhimu ingia kwanza ndoani ndo utapata majibu yote haya
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Duuh mara tatu? basi ampeleke kwa babu kwanza akatibiwe hapo chance ya kale kamjamaa ni kubwa. ampeleke akatibiwe kwanza.

Ukilinganisha na za mwanaume mara ishirini ni sawa tu hizi ni chache saana
 
Back
Top Bottom