Kuna mtu kaniuliza hili swali jamani, anataka msaada wa Mawazo yenu. Maji yamemfika shingon

Ving'ang'anizi kama nnavyowaita!!!Yani utadhani walizaliwa pamoja!!!Mapacha tu wanatengana sembuse mtu ulikutana nae ukubwani!!!Kweli inabidi itafutwe dawa ya kuwapa watu hali ya kujiamini maana hilo ndo tatizo haswa!!!Hapo utakuta amejiaminisha kwamba hatapendwa/pata mwingine!!
Kuna maufundi wanagawa kule Bwagamoyo ni balaaa unaweza kujikuta unambeba mtu mgongoni :lol::lol::lol:
 
Hapa cha kushukuru mungu ni kwakuwa huyo,
umemfumania live, au unmemuona live zaidi ya mara moja,
kuna wengine wanachakachua huko nje kimya kimya na bado wanasonga mbele na ndoa zao,
je hapo napo vipi?

Well yeye amepata kujua kwahiyo achukue hatua!!Hao wasifahamu ni story nyingine!!!
 
...kwenye red patamu hapo.
"...na aliye msafi awe wa mwanzo kutupa jiwe!"
LD jibu hilo!

...duuu, nimejichokea mie.
ama mstaafu hapa umepigilia msumari kwenye jeneza.

Dah, na hiki ndicho kinachouma zaidi Mbu,
Kwa maana ingine kama nyie wote mnacheat inabidi msameheana tu sio?
 
Kuna maufundi wanagawa kule Bwagamoyo ni balaaa unaweza kujikuta unambeba mtu mgongoni :lol::lol::lol:

Hahahhah....kwahiyo labda kaka wa watu kashafanywa zoba!!Poleni wakina baba maana mna kazi....anzisheni maandamano ya kupinga swala zima la BWAGAMOYO!!!
 
Na kama akikukosea mara saba katika siku moja na kurudi kwako mara saba akisema natubu, msamehe.
 
  • Thanks
Reactions: LD
Sasa kama mwenzio hujamkamata utamwitaje mzinzi au mwizi?

Kama unaweza kunywa wine kidogo kwa afya na usichakachuke mbona hiyo imeruhusiwa?

Binafsi sina tatizo kama mwenzangu atakuwa anabanjua responsively...na kuhakikisha mimi mwenyewe sijui na wala hanivunjii heshima yangu kwenye jamii.

Ndo maana hata siku ile Yesu alipowambia watu wamtwange mawe mwanamke mkware wote walitimua mbio.

Hizi nafsi zinaficha mengi...Na hilo ndo suala la kuheshimu na kusonga mbele. Nilishawahi kusema kuwa mimi naishi kwa kanuni ya imani...kwamba bibi hagawi tunda hadi nikapothibitisha beyond doubt...Ila sitamani kuona wala kusikia kitu kama hicho...I am safe to be unaware!

Haya babu DC.
Nimekuelewa kwa kweli.
 
Achilia waliokuumiza usihukumu nanyi hamtahukumiwa, achilia nayi mtaachiliwa. Ukiachia na kusamehe wale wote waliokuumiza moyoni mwako, roho yako itakuwa salama.
 
  • Thanks
Reactions: LD
Mi naona aendelee kumsamehe tu :crazy:..mhh!na ana moyo!!!kama alimsamehe mara zote hizo na wakaendelea vizuri..why not now?
mbona wanawake huwasamehe wanaume mara nyingi tuu.
sasa zamu yao,kibaya ni kwamba huyo ndo amebeba msalaba wa wote.
Amsamehe tena maisha yaendelee

Asante dada mtamu!
Wao twawasamehe kila siku na hawakomi.

Kwa wanaume JF.
Ikiwa wewe unatembea sana nje ya ndoa siyo ajabu na mkeo.mwanamke wako naye akatoka nje.Unachokiona chafaa kuliwa huko nje naye ataona chafaa. Kuna kitu cha kisaikolojia hapa. Mtu unapomsaliti mwenzio hata mara moja ule "mzimu" lazima utake na upande wa pili.Uiza wanaotembea nje wana maisha gani ya mahusiano.Utagudua wana maishu kibao ya kukoseana uaminifu.Kumaliza hili mnatakiwa muombewe hilo. pepo liwatoke.

LD...huyo alokuuliza unamjua vizuri?Ana tabia gani? Ana macho miamia?
 
  • Thanks
Reactions: LD
Huoni kuwa kila mwanajamvi anaposema kuwa ni ngumu sana kufanya hivyo kwa mwanaume rijali, wewe umekazania kuwa labda ni mapenzi mazito na blah blah yingine. Huyo jamaa yako sio bure labda sio mzima au ashapigwa ufundi wa Bwagamoyo. Kwangu mimi ile mara ya kwanza tu ni kadi nyekundu straight.

Kwani wewe huwa husamehi hata mara moja?
Hebu chukua nafasi ya huyo mwanamke wewe, ungependa ufanyiwe vipi, kwa kosa la kwanza??
 
Mimi naona wote wanaibiana tu lakini inakua bahati mbaya kwa mwanamke kufumaniwa. Hiyo ni sawa sawa na watu wawili kuiba sukari kwa time tofauti halafu mmoja atumie kioo kufuta punje za sukari kwenye mdomo na mwingine ajifute kawaida. Then after sometime sukari inaisha hapo ndio waanza kuulizana eventually, aliejifuta kawaida anakamatwa na punje za sukari karibu na mdomo wake. Definitely atamsamehe kwavile wote wezi. So hapo mmoja wao ndio anajua kwamba wote wezi halafu mwingine anajua mwenzie sio mwizi hadi hapo bcoz hajamfumania. It is just a matter of time factor.
Kwa mwanaume ambae sio mwizi kweli hawezi vumilia mara ya pili, he will just deform you! Hapo the bottom line is wote wezi.
 
Huoni kuwa kila mwanajamvi anaposema kuwa ni ngumu sana kufanya hivyo kwa mwanaume rijali, wewe umekazania kuwa labda ni mapenzi mazito na blah blah yingine. Huyo jamaa yako sio bure labda sio mzima au ashapigwa ufundi wa Bwagamoyo. Kwangu mimi ile mara ya kwanza tu ni kadi nyekundu straight.

WeWE na wale wote mnaosema hamsamehi, mko waaminifu100%
 
Asante dada mtamu!
Wao twawasamehe kila siku na hawakomi.

Kwa wanaume JF.
Ikiwa wewe unatembea sana nje ya ndoa siyo ajabu na mkeo.mwanamke wako naye akatoka nje.Unachokiona chafaa kuliwa huko nje naye ataona chafaa. Kuna kitu cha kisaikolojia hapa. Mtu unapomsaliti mwenzio hata mara moja ule "mzimu" lazima utake na upande wa pili.Uiza wanaotembea nje wana maisha gani ya mahusiano.Utagudua wana maishu kibao ya kukoseana uaminifu.Kumaliza hili mnatakiwa muombewe hilo. pepo liwatoke.

LD...huyo alokuuliza unamjua vizuri?Ana tabia gani? Ana macho miamia?

Sio kivileeeeeeee!!! Kwa upeo wa ufahamu wangu lakini.
Kwa sababu kama walivyosema hapo juu, huwezi kuisemea nafsi ya mtu sana>
Hebu angalieni moja ya majibu aliyokuwa ananipa wakati tunaongea naye.

Nampenda na Kumjali sana mke wangu kuliko maelezo. Kila anchohitaji anapewa na ziada. Movement zangu zote anazielewa na kila nifanyalo. Ni Mwanaume mwenye Staha na hadhi kwa jamii na Kanisa
 
huyo rais haruhusiwi kugombea mihula mitatu ,ije kuwa kuibiwa waifu wako mara tatu? khaaa! huyo jamaa inaonesha unaweza ukamwambia "niitie mkeo" na "akamuita" . nashangaa huyo mke ana dental formula yake kamili na anapeta mpaka mida hii.
 
Mimi naona wote wanaibiana tu lakini inakua bahati mbaya kwa mwanamke kufumaniwa. Hiyo ni sawa sawa na watu wawili kuiba sukari kwa time tofauti halafu mmoja atumie kioo kufuta punje za sukari kwenye mdomo na mwingine ajifute kawaida. Then after sometime sukari inaisha hapo ndio waanza kuulizana eventually, aliejifuta kawaida anakamatwa na punje za sukari karibu na mdomo wake. Definitely atamsamehe kwavile wote wezi. So hapo mmoja wao ndio anajua kwamba wote wezi halafu mwingine anajua mwenzie sio mwizi hadi hapo bcoz hajamfumania. It is just a matter of time factor.
Kwa mwanaume ambae sio mwizi kweli hawezi vumilia mara ya pili, he will just deform you! Hapo the bottom line is wote wezi.

Haya ni majibu ya huyu kaka, kuhusu uaminifu upendo wake kwa mke wake.

Nampenda na Kumjali sana mke wangu kuliko maelezo. Kila anchohitaji anapewa na ziada. Movement zangu zote anazielewa na kila nifanyalo. Ni Mwanaume mwenye Staha na hadhi kwa jamii na Kanisa
 
Back
Top Bottom