Kuna mtu kaniuliza hili swali jamani, anataka msaada wa Mawazo yenu. Maji yamemfika shingon

Aendelee kumsamehe kama anataka kufa kwa ngoma siku moja!!!Kama hataki amuache!!!

Hapa cha kushukuru mungu ni kwakuwa huyo,
umemfumania live, au unmemuona live zaidi ya mara moja,
kuna wengine wanachakachua huko nje kimya kimya na bado wanasonga mbele na ndoa zao,
je hapo napo vipi?
 
St RR,
Nataraji kuwa hapo bado hujaconclude,
ni mchango wako tu mkuu!!!!!

Nilishatoa hitimisho langu kabla ya hii thredi mkuu...
Waachane....jamaa asepe...achape mwendo....
Ila kama ana hofu basi atoe nafasi (japo finyu) ya kuachana kwa muda.....
 
Hakuna mwanaume rijali anayeweza kukusamee mara zote hizo, labda awe amelogwa.

wapo kiongozi wangu,
kwani kwa style hiyo wengine ndo umewafungulia pia mlango wa kusegejua huko nje kwa amani kabisa!!!!!!
 
Unajua Lizzy, kuna watu wanaamini hawawezi kuishi bila ya wenza wao.....huyu mume ni mmoja wapo...
Sidhani kama ni upendo unaomfanya asamehe zinaa ya mkewe...ana hofu ya kushindwa maisha bila ya uwepo wa huyo mkewe....

...mazoea yana tabu kaka. "Mazoea ni utumwa wa fikra"

sio mapungufu, ni kukazia ile ahadi tu,
katika shida na raha na machungu yote!mtabanana pamoja

..ha ha ha, wapi the finest?
nilimwambia jana, kwenye "wedding vows" hili halijawa defined vizuri.
Kila mtu na kiwango chake cha ustahmilivu. Wala simlaumu huyo braza 'wa peponi.'
 
  • Thanks
Reactions: RR
Unajua Lizzy, kuna watu wanaamini hawawezi kuishi bila ya wenza wao.....huyu mume ni mmoja wapo...
Sidhani kama ni upendo unaomfanya asamehe zinaa ya mkewe...ana hofu ya kushindwa maisha bila ya uwepo wa huyo mkewe....

Alternatively...ana matatizo makubwa mubichwa lake!!

Dhambi ya uzinzi (tena kwa mke.....samahani watu wa TAMWA!) inaweza kusamehewa ila siyo zaidi ya mara moja
 
Hapa hakuna cha mume wala mke. Tabia ya kuendekeza upuuzi kama hiyo ndo inasababishia watu matatizo makubwa..maukimwi, BP, kisukari, stroke etc!!! Kama unafanya uchafu wako jitahidi usifumaniwe...Hebu wasiliana na Teamo akupe sheria zao.

Ikitokea ukafumaniwa basi uombe Mungu mwenzio (hapa siongelei jinsia) akupe msamaha ili upate nafasi ya kuikimbia hiyo dhambi kama mtu aliyetoroka kwenye kinywa cha mamba. Binafsi nikifumaniwa mara ya 2 nitamwomba Bibi kwa upendo tu na upole aniache niendelee na uzinzi wangu..Nitakuwa siwezi kubadilika!

Asante babu, Babu naomba kuuliza tena.
Kwa maana hiyo babu, watu wafanye uzinzi lakini wasikamatwe sio?
Yani hata kama ni mwanamke afanye lakini asikamatwe.
Na kosa litaanzia hapo kwenye kukamatwa sio?

Ukikamatwa mara Mbili unaomba Talaka ya kiume wewe mwenyewe uendelee na uzinzi.
Usipokamatwa, utaendelea na uzinzi bila kuomba talaka.

Sasa kama maisha ndo hivo babu, kwa nini watu wasjipe tu uhuru wakaacha kuoa au kuolewa,
na kuwaletea wenzao mapresha na makisukari?? Wakaishi wanavyotaka wao??
 
wapo kiongozi wangu,
kwani kwa style hiyo wengine ndo umewafungulia pia mlango wa kusegejua huko nje kwa amani kabisa!!!!!!

BTW naona wameweka kabani ka fesibuku upande wa chini kulia mwa bandiko....:focus:
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

nimekupata kiongozi,
nipo loliondo wiki ya 3 sasa,
babu kaniambia ugonjwa wangu unahitaji kunywa lita 20 za maji, yaani ndoo 1,
na wala sio kikombe kimoja!!lol...
 
Asante babu, Babu naomba kuuliza tena.
Kwa maana hiyo babu, watu wafanye uzinzi lakini wasikamatwe sio?
Yani hata kama ni mwanamke afanye lakini asikamatwe.
Na kosa litaanzia hapo kwenye kukamatwa sio?

Ukikamatwa mara Mbili unaomba Talaka ya kiume wewe mwenyewe uendelee na uzinzi.
Usipokamatwa, utaendelea na uzinzi bila kuomba talaka.

Sasa kama maisha ndo hivo babu, kwa nini watu wasjipe tu uhuru wakaacha kuoa au kuolewa,
na kuwaletea wenzao mapresha na makisukari?? Wakaishi wanavyotaka wao??

Sasa kama mwenzio hujamkamata utamwitaje mzinzi au mwizi?

Kama unaweza kunywa wine kidogo kwa afya na usichakachuke mbona hiyo imeruhusiwa?

Binafsi sina tatizo kama mwenzangu atakuwa anabanjua responsively...na kuhakikisha mimi mwenyewe sijui na wala hanivunjii heshima yangu kwenye jamii.

Ndo maana hata siku ile Yesu alipowambia watu wamtwange mawe mwanamke mkware wote walitimua mbio.

Hizi nafsi zinaficha mengi...Na hilo ndo suala la kuheshimu na kusonga mbele. Nilishawahi kusema kuwa mimi naishi kwa kanuni ya imani...kwamba bibi hagawi tunda hadi nikapothibitisha beyond doubt...Ila sitamani kuona wala kusikia kitu kama hicho...I am safe to be unaware!
 
  • Thanks
Reactions: LD
Alternatively...ana matatizo makubwa mubichwa lake!!

Dhambi ya uzinzi (tena kwa mke.....samahani watu wa TAMWA!) inaweza kusamehewa ila siyo zaidi ya mara moja

...swadakta mstaafu,
Iwapo alishasamehe mara yakwanza, kwanini ashindwe kusamehe tena, mara ya pili, na ya tatu,..?
Kama Mwanaume ana kifua cha kusamehe mapungufu ya awali, aendelea tu na hiyo roho ya 'watakatifu'
Mungu si atamlipia bana?
 
Mkuu nakubaliana na wewe ila kwa sababu wote tuna mapungufu...basi unaweza kudhani kwamba siku hiyo amepotea maboya akaingia choo cha akina kaka ndo maana kafumwa. Na pia inategemea na nafsi yako mwenyewe. Kama mimi sijawahi kucheza rafu nje ya ndoa basi nitatoa red card ya moja kwa moja.

Ila kama nimewahi kupiga misele na kutoka salama...wallah nitamsamehe hiyo mara moja...Ikitokea mara ya 2 itabidi tugawane kihampa kila mtu akaishi kivyake vyake...Huyo ndiye mimi!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
We LD mbona unatetea sana au we ndo uliofumwa????:lol:

Inaweza kuwa mimi au isiwe mimi pia, lakini hebu tuambie kidogo kuhusu hiyo?
Sijajua natete je pia?
Karibu uniambie zaidi jinsi ya kumsaidia huyu kaka.
 
Mkuu nakubaliana na wewe ila kwa sababu wote tuna mapungufu...basi unaweza kudhani kwamba siku hiyo amepotea maboya akaingia choo cha akina kaka ndo maana kafumwa. Na pia inategemea na nafsi yako mwenyewe. Kama mimi sijawahi kucheza rafu nje ya ndoa basi nitatoa red card ya moja kwa moja.

Ila kama nimewahi kupiga misele na kutoka salama...wallah nitamsamehe hiyo mara moja...Ikitokea mara ya 2 itabidi tugawane kihampa kila mtu akaishi kivyake vyake...Huyo ndiye mimi!

Binafsi naamini sitasamehe (sina uzoefu nalo bado)....
Ila katika mazingira fulani inawezekana ukajikuta unatoa msamaha wa lazima....:embarassed2::embarassed2:
 
Babu nimekupata sawasawa!!!
Hapo naona utakuwa huna hatia kabisa.
 
...swadakta mstaafu,
Iwapo alishasamehe mara yakwanza, kwanini ashindwe kusamehe tena, mara ya pili, na ya tatu,..?
Kama Mwanaume ana kifua cha kusamehe mapungufu ya awali, aendelea tu na hiyo roho ya 'watakatifu'
Mungu si atamlipia bana?

Kweli Mbu, una watu wamejaliwa roho ya msamaha, wanaume kuliko hata mwanamke.
Mi pia nafikiria hivo, kama anaweza kumsamehe, amsamehe, kama hawezi kuvumilia basi, afanye uamuzi mgumu.

Kuna swali umeniuliza hapo juu, huyu dada yeye anaomba msamaha kawaida tu, kwa machozi na kilio, kama binadamu wa kawaida
na huwa anaahidi kabisa kuacha lakini ndo hivo anajikuta anarudia tena.

Au ni pepo akiombewa si anaweza kuacha eti?
 
Mkuu nakubaliana na wewe ila kwa sababu wote tuna mapungufu...basi unaweza kudhani kwamba siku hiyo amepotea maboya akaingia choo cha akina kaka ndo maana kafumwa. Na pia inategemea na nafsi yako mwenyewe. Kama mimi sijawahi kucheza rafu nje ya ndoa basi nitatoa red card ya moja kwa moja.

Ila kama nimewahi kupiga misele na kutoka salama...wallah nitamsamehe hiyo mara moja...Ikitokea mara ya 2 itabidi tugawane kihampa kila mtu akaishi kivyake vyake...Huyo ndiye mimi!

...kwenye red patamu hapo.
"...na aliye msafi awe wa mwanzo kutupa jiwe!"
LD jibu hilo!

...duuu, nimejichokea mie.
ama mstaafu hapa umepigilia msumari kwenye jeneza.
 
Binafsi naamini sitasamehe (sina uzoefu nalo bado)....
Ila katika mazingira fulani inawezekana ukajikuta unatoa msamaha wa lazima....:embarassed2::embarassed2:

Hebu niambie kidogo kuhusu msamaha wa lazima.
Usije kuta na huyu anahitaji msamaha wa lazima.
 
Unajua Lizzy, kuna watu wanaamini hawawezi kuishi bila ya wenza wao.....huyu mume ni mmoja wapo...
Sidhani kama ni upendo unaomfanya asamehe zinaa ya mkewe...ana hofu ya kushindwa maisha bila ya uwepo wa huyo mkewe....

Ving'ang'anizi kama nnavyowaita!!!Yani utadhani walizaliwa pamoja!!!Mapacha tu wanatengana sembuse mtu ulikutana nae ukubwani!!!Kweli inabidi itafutwe dawa ya kuwapa watu hali ya kujiamini maana hilo ndo tatizo haswa!!!Hapo utakuta amejiaminisha kwamba hatapendwa/pata mwingine!!
 
Inaweza kuwa mimi au isiwe mimi pia, lakini hebu tuambie kidogo kuhusu hiyo?
Sijajua natete je pia?
Karibu uniambie zaidi jinsi ya kumsaidia huyu kaka.
Huoni kuwa kila mwanajamvi anaposema kuwa ni ngumu sana kufanya hivyo kwa mwanaume rijali, wewe umekazania kuwa labda ni mapenzi mazito na blah blah yingine. Huyo jamaa yako sio bure labda sio mzima au ashapigwa ufundi wa Bwagamoyo. Kwangu mimi ile mara ya kwanza tu ni kadi nyekundu straight.
 
Back
Top Bottom