Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,823
hehehe Kongosho huwa anasemaga mbwa wako asipobweka bweka mwenyewe, na hili ndio funzo tunalopata kwenye hii sredi.
Wikiend ipo shwari kamanda namsubiria Lizzy apa tukakamalize kale ka fifty sauzend ka superman
poa wala siwajoin maana hakatatosha bila top up...daam supaman angetoa walau 500K