Kuna Mtu Anautesa Moyo Wangu Hapa JF

mmmh, naona atu hapa wapana wa maneno kama pazia la leba.
Ngoja nisepe, leo naupako wa Siasa za MMU.
 
hahaha poa kamanda....LOL JF zaidi ya ujuaovyo

vipi wkiend..umeona Baga anakula mdudu kwa mama Kamche?
hehehe Kongosho huwa anasemaga mbwa wako asipobweka bweka mwenyewe, na hili ndio funzo tunalopata kwenye hii sredi.
Wikiend ipo shwari kamanda namsubiria Lizzy apa tukakamalize kale ka fifty sauzend ka superman
 
nakuona umepewa lift na ODM kwenye ile hela, sasa unapiga honi na kukata kona.

Loya wewe ni noumer, hadi unaalika na watu.
Namwambia tukuchenge.

Bora ukuwe upande wangu tu ili tukaibe kale tu hela, manaake ODM kale ka fifty souzand ana kila dalili kukapeleka nyumba ndogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom