Umeshawahi kukutana na mtu mbishi hata ufanyeje ni ngumu sana kukuelewa? Huwa wana matatizo gani?

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,331
4,856
Watu wa hulka hiyi sijui wana matatizo gani? Yaani ni wa bishi mno nakumbuka nilikuwaga na ex wangu mmoja hivi mkianza kukaa kubishana hata umueleweshe vipi kukuelewa ni ngumu.

Basi kuna siku alipata shitaka fulani hivi kuna mtu alimkosea, huyo mtu akashindwa mvumilia akaenda mahakamani, siku ya kuanza kesi, akajikuta anaishia kupigwa faini na kuwekwa ndani kwa siku 5 maana kila anapotoa maelezo, anakutana na maswali ya mawakili anajikuta anasahau alichoongea mwanzo anaanzisha point nyingine.

Hakimu akaona hapa sio kijiweni usituone watu wote wapuuzi akaambiwa kamweken kwanza ndani, alivyotoka mule akawa mpole sana.

Sasa huwa nashangaaga watu wa aina hiyi huwa wana matatizo gani kichwani na ni waongeaji haswa, ila point ziroo, ni ubishi mwanzo mwisho.

Je, umeshawahi kukutana na watu wa aina hii, na ulitumia mbinu gani akakuelewa?
 
Nimemkumbuka mmoja toka KG
 
Back
Top Bottom