Kuna anaeutesa moyo wangu JF!

Wasifu wa huyu mtu ...
1. Jukwaa lake kubwa ni Siasa- nikiingia kwa gia ya siasa atanishangaa na sina point za kusema
2.Intelligence forum anapita mara chache -
3. Business kidogo- mie sio mfanyabiashara kuwa naomba advice
4. Chitchat niliwahi ona post yake moja tu- tena alikuwa anashangaa .
5.Mapenzi sijawahi kumuona kabisa ..ndo maana napata kigugumizi

aaaah! huyo atakua shemeji RR. lol
 
Mimi dada yangu nime base kwenye uwazi na ukweli, ninachokiamini kinanifaa nakifanya hivyo nikichanganywa na mtu najitoa mhanga natangaza sera za kuchukua jimbo kama kura hazikutosha basi tena najipangaa awali nyingine.

Ila kiukweli yupo aliyenichanganya na nimeshafunguka kwake.

Thats good brother.... naomba nimfahamu kama hutojali.
 
Wasifu wa huyu mtu ...
1. Jukwaa lake kubwa ni Siasa- nikiingia kwa gia ya siasa atanishangaa na sina point za kusema
2.Intelligence forum anapita mara chache -
3. Business kidogo- mie sio mfanyabiashara kuwa naomba advice
4. Chitchat niliwahi ona post yake moja tu- tena alikuwa anashangaa .
5.Mapenzi sijawahi kumuona kabisa ..ndo maana napata kigugumiz
i
Kama si mwanafamilia wa majukwaa hayo mawili pendwa jiandae mama....

Utafiti nilioufanya mimi mwenyewe kwa msaada wa wajukuu zangu, wajumbe karibu wote wa jinsia ya kiume kwenye haya majukwaa NDO WANAUME BANA! Hutajuta kuwa na mmoja wao. Baada ya kusema hayo nakuomba ubadili mawazo na umdondokee ndugu yangu MTM. He is so lonely but loving gentleman. Ametahiriwa na ana nguvu zote za kiume. Si mwepesi wa hasira na ni mwingi wa fadhila. Hajawahi kufumaniwa na akifumania ni mwepesi wa kusamehe...... Need I Say More?
 
Mwenzenu kila nikiona Avatar yake natabasamu
Nikiingia kitu cha kwanza lazima nimuangalie kama yuko online..
Nikivuta post zako kuview naridhika tu
Hatajwi popote lakini anaonekana ni mpole sana na anachangia pale anapoona kuna umuhimu wa kufanya hivo
Siwezi hata kumtumia PM kwani signature yangu inasema ....(......)
Sio maarufu JF kama wengine
Siwezi kuthubutu kumwambia kama ananivutia maana sina nafasi ya kumuweka ..
Yupo kama hayupo JF
20% Sifa ya moyo tamaa!
Tuliza moyo wako ......

Tukusaidiaje sasa? Hebu jaribu kum-PM aiseee, Loh, kupenda nako ishu!
 
Kwa hivi vigezo sipo kwenye rally
ngoja nikae pembeni kabisa

haaa we Rocky apo EW kafanya kama Mpolee na kampuni inayokwepa kodi...anapiga penati kushoto kipa anaenda kulia upo hapo? we huoni amejitahidi isionekane huyu mtu yupo MMU au chit chat.....think!
 
haaa we Rocky apo EW kafanya kama Mpolee na kampuni inayokwepa kodi...anapiga penati kushoto kipa anaenda kulia upo hapo? we huoni amejitahidi isionekane huyu mtu yupo MMU au chit chat.....think!

Mkuu wewe mjanja sana aise
Haya mkuu tusubiri tuone kama atafunguka
 
Tehe tehe tehe tatizo kura hazikutosha ikabidi nivute pumzi. Jimbo lipo chama cha upinzani saizi si unajua hakuna jimbo lisilo na muwakilishi?

hahaha.... Nina imani hujakata tamaa kugombea tena! lol.... Unajua tena kama kiti kinfaa lazima ufurukute!
 
naona mapenzi yanapeleka watu Puta,
Avatar na maandishi tu yanaleta mvuto kwa EW,

pole sana jaribu kujikita kwenye siasa labda utamnasa ...AD akusaidie maana yeye ni mchangia popote
 
Kama si mwanafamilia wa majukwaa hayo mawili pendwa jiandae mama....

Utafiti nilioufanya mimi mwenyewe kwa msaada wa wajukuu zangu, wajumbe karibu wote wa jinsia ya kiume kwenye haya majukwaa NDO WANAUME BANA! Hutajuta kuwa na mmoja wao. Baada ya kusema hayo nakuomba ubadili mawazo na umdondokee ndugu yangu MTM. He is so lonely but loving gentleman. Ametahiriwa na ana nguvu zote za kiume. Si mwepesi wa hasira na ni mwingi wa fadhila. Hajawahi kufumaniwa na akifumania ni mwepesi wa kusamehe...... Need I Say More?

babu kwa kampeni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom