Kuna anaeutesa moyo wangu JF!

Egyps-women

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
498
106
Mwenzenu kila nikiona Avatar yake natabasamu
Nikiingia kitu cha kwanza lazima nimuangalie kama yuko online..
Nikivuta post zako kuview naridhika tu
Hatajwi popote lakini anaonekana ni mpole sana na anachangia pale anapoona kuna umuhimu wa kufanya hivo
Siwezi hata kumtumia PM kwani signature yangu inasema ....(......)
Sio maarufu JF kama wengine
Siwezi kuthubutu kumwambia kama ananivutia maana sina nafasi ya kumuweka ..
Yupo kama hayupo JF
20% Sifa ya moyo tamaa!
Tuliza moyo wako ......
 
Bi mdada we ni adimu kweli yaani, mpaka umefunguka hivi kweli
mapenzi yamekufika... I wish jamaa angejua; ana deserve kwa kweli.

Nipo Ashadii ni vile majukumu na huyu kaka kila nikiingia JF na kumkuta basi naridhika na kusign out ,
Tatizo hajui hili
 
Mwenzenu kila nikiona Avatar yake natabasamu
Nikiingia kitu cha kwanza lazima nimuangalie kama yuko online..
Nikivuta post zako kuview naridhika tu
Hatajwi popote lakini anaonekana ni mpole sana na anachangia pale anapoona kuna umuhimu wa kufanya hivo
Siwezi hata kumtumia PM kwani signature yangu inasema ....(......)
Sio maarufu JF kama wengine
Siwezi kuthubutu kumwambia kama ananivutia maana sina nafasi ya kumuweka ..
Yupo kama hayupo JF
20% Sifa ya moyo tamaa!
Tuliza moyo wako ......

vitendo sivizimii,
matendo hunitega mi'
source: MwanaFA
 
Rejao kakaangu mbona sasa hivi kama unahangaika kweli na wadada, hujampata wa kukonga moyo wako.... I hope Ebyps hajakuangukia wewe atavunjia tu moyo.....lol... Hata kama you are my brother...
My Sisy,.....nilikuwa nategemea hata unisifie nisifie...nashangaa umenigeuka kabisa!!
Siangaiki kabisa, kuna Smile tu na hamna mwingine, na wewe mwenyewe unalifahamu
 
Mwenzenu kila nikiona Avatar yake natabasamu
Nikiingia kitu cha kwanza lazima nimuangalie kama yuko online..
Nikivuta post zako kuview naridhika tu
Hatajwi popote lakini anaonekana ni mpole sana na anachangia pale anapoona kuna umuhimu wa kufanya hivo
Siwezi hata kumtumia PM kwani signature yangu inasema ....(......)
Sio maarufu JF kama wengine
Siwezi kuthubutu kumwambia kama ananivutia maana sina nafasi ya kumuweka ..
Yupo kama hayupo JF
20% Sifa ya moyo tamaa!
Tuliza moyo wako ......

Isije kuwa mimi maana sifa ulizosema ni kama zinataka kunidondokea, tehe tehe tehe tehe.
 
hata mimi kuna mtu namzimikia humu basi tu
yaani ni adimu sana na yeye nikimuona online tu mwili wote kwishney

Mie nitapenda japo apite kwenye thread hii aone tu kama kuna mtu anahangaika kimawazo juu yake ...
nahisi nikimtumia PM anaweza kukaa kimya asiijibu ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom