Kuna anaeutesa moyo wangu JF!

Unajua kuna shida fulani ipo siku hizi, unapomuapproach mtu ni ngumu kuweza kujua kama yupo fully occupied kama hana pete ya ndoa au ana mtu ambaye hawezi kumpiga chini.

Tatizo linakujaje? Kila unapopiga sound hata mashairi yako yatakuwa na vina kiasi gani ni lazima afanye reflection na mtu aliyenaye kama umemzidi au laaah halafu ndiyo aje atoe maamuzi ya nifanye au laaah.

Kitu kingine naheshimu maamuzi ya mtu anapojieleza kwa hisia au kwa msisitizo kuwa jambo hilo unalolitaka halipo katika programe zake hata baada ya kumueleza. Haimanishi ana dharau kwa kukuambia hivyo bali huo ndiyo msimamo wake. Inabidi kama mstaarabu uvute pumzi kama kutatokea majaaliwa mbele ya safari ni Mungu ajuaye lakini score board itakuwa inasoma 2 - 1 mpaka 90min na kipyenga kinakaribia kupulizwa kuashiria mpambano kuisha.




Mzee wa Rula ama wewe ni mstaarabu.... Kwa maneno uloeleza hapa... I wish she could see that in you, na hata kama hajaona basi huyo ambae anae saizi awe very worth it. Ni kweli bana mapenzi hayalazimishwi, na kama umependa kweli you understand kua maybe kuna alie mpenda kama wewe ulivo mpenda..... Best of Luck umpate yule ambae atakufaa na roho yako kuridhia kua wampenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom