Kumpiga mke

Wewe hukosei?
na unapokosea mkeo anakupiga?
hivi mbaba mtu mzima na midevu yako unanyanyua mkono kumpiga mtu mzima mwenzio? akili kweli hizo?
kama unajiona una maguvu si uchukue jembe ukalime?
 
Mke hapigwi, hukalishwa kitako akaeleweshwa akiwa haelewi mpeleke kwao wameleweshe na kama bado au haiwezekani basi kila mtu atafute njia yake kupiga mwanamke sio uungwana kabisa, wanaume wengi wanasahau kabla hujafikiri kunyanyua mkono kumpiga unatakiwa ufikiri kama angekua dada yako ungefurahi akipigwa au mama yako au mwanao? ukishapata jibu ndio uendelee na unachotaka kukifanya....
 
umpige kwn amekuwa mtoto ,kwanza siku hizi hata watoto hatupigi....by th way km unataka kumpa adhabu mbona kuna mambo mengi unayoweza kumfanyia zaidi ya hiyo kumpiga.....unaweza kutumia psychological torture mwnyw atanyooka.
Hii ndo solution!
 
Kumpiga mke sio suluhu ya kumrekebisha, jambo la msingi ni kukaa chini muongelea tofauti zenu.
 
Napenda kuomba msaada wa mawazo kwenu wana jf kuhusu hili.Eti mke akikukosea, kumpiga ni uamuzi mzuri? B'se wengine wanasema kumpiga ni kumuonea kwani wao ni viumbe dhaifu,wengine ati ni njia ya kumuonya.Nisaidieni. Je ukimpiga
kumuonea ni kumpiga BILA KOSA!!!! ndugu VITASA muhimu.....kuna vitabia vingine havitoki bila maumivu na akina HAWA huwa wanatabia ya kujifanya manunda bila sababu ya msingi.........ndugu fyatua mabanzi hii habari ya u-delicate creature itafika siku wataanza kusema ile kitu ni mara moja kwa mwezi.........upo
 
Wewe hukosei?
na unapokosea mkeo anakupiga?
hivi mbaba mtu mzima na midevu yako unanyanyua mkono kumpiga mtu mzima mwenzio? akili kweli hizo?
kama unajiona una maguvu si uchukue jembe ukalime?

Sasa wewe badil tabia,amekosea yeye mm ndo nifanyeje? Jwa hiy kama kumpiga noma then nimuache tu?
 
Napenda kuomba msaada wa mawazo kwenu wana jf kuhusu hili.Eti mke akikukosea, kumpiga ni uamuzi mzuri? B'se wengine wanasema kumpiga ni kumuonea kwani wao ni viumbe dhaifu,wengine ati ni njia ya kumuonya.Nisaidieni. Je ukimpiga

Em fikria km na wew ukikosea awe anakubonda! Eee, yes nyie s 1flesh? Usifanye hvo kakaangu, utaua, af mbingu hutaiona. Achaa!
 
ni uamuzi mbaya sana. mkeni binadamu kama wewe,kama anakosea,na wewe huwa unakose pia,hii yote ni kudhihirisha kuwa binadamu siyo malaika.
kwanini unauliza anapokosea umpige? WEWE JE UNAPOKOSEA, NA YEYE AKUFUMUE? AKUBONDE?
 
waugwana kuna makosa mengine hayavumiliki, hasira nayo ni ngumu kuizuia wakati mwingine... msiongee tu hapa:A S embarassed:
 
he!! We nae mwingine.yan unikosee then nikuhonge? Au kitenge gan Neema unamanisha?

namaanisha magumi tafuta mwanaume mwenzio mpimishiane ubavu mke hapigwi na mangumi,anaelezwa vizuri na zawadi juu mkishamaliza ugomvi wenu,kama kumnunulia mkeo kanga ni unaona sawa na kuhonga then i cant help you...lol
 
hapana mke anapigwa kwa upande wa kanga eeeh au kitenge...

Mijitu ya bara inaelewa hilo?Sio kupiga tu hata kwenye s*x huwa inabaka,mwanamke anazaliwa anazeeka mpaka anakufa hajui kwa nini alizaliwa mwanamke.Hawajui mapenzi wanaoa tu ili wazae waendeleze ukoo.
 
NI vibaya sana kumpiga mke! USIMPIGE. yeye ni binadamu kama ulivyo wewe. hakuna mwanadamu aliyekamilika 100 percent. hata wewe ni mwanadamu, huwa unakosea. JE? na wewe ukikosea/unapokosea, AKUBONDE/AKUFUMUE?
mbona hujauliza na wewe unapokosea akufanye nini?
 
Back
Top Bottom