Kumpiga mke

ah chapa pale ambapo inastaili kuchapa (kama anarudia kosa ambalo ulishamuonya) na toa reprimand pale ambapo ni mara ya kwanza
 
Loh!!!Ndio zako hizo za kunyanyasa watu wengine psychologically?
lol! usinihukumu bure ,km ukinikosea hlf still nakuwa nyc to u na pia nakupa maneno ya mungu km unaconcious automatic psychological unaumia na at th same tym unajifunza....in short nakufanya ufeel guilt kwa ulichokifanya my dia.
 
Hahahaha. . . .uzuri ni kwamba hiyo ni fani yangu, kwahiyo inabidi utafute adhabu nyingine aisee.
 
hapo sasa sindo great couple thinks alike ,,,,tukikoseana tu unaexpect kupokea kibano cha kisaikolojia hlf nitakuwa nakushinda coz am experienced kidogo than u.
 
Back
Top Bottom