Kumpiga mke

Mmh sio mkubwa kivile, ila kitabu mwaka wa tatu huu.

Hahahaha ndio imetoka moyoni ila usifanye mazoea.Siku nyingine nakukomalia kooni.
najua huwezi kunikomalia hivi hivi lazima utakuwa na sababu bana....mwaka wa 3 ?hapo sasa utakuwa umenishindaje? sijui nikuibukie huko huko kwny PM.....
 
Hahahaha nimekushinda sana aiseee, kwahiyo ujiandae kabisa kugonga mwamba maana ujanja ujanja mwingi naujua.
Alafu kukomaa bila sababu HAPANA, ila ndo hivyo usidhani kila siku ni jumapili.
 
hahahahahahaha! lol! busara itatumika zaidi, si unajua tena am a ril man....ngoja niku PM kuhusu hiyo shule unipe hizo info vizuri kabisaaa....
 
Kunaweza kukapungua aisee. . . sema sitaki maneno ya wambea kwahiyo tutaboresha zaidi.
haiwezi kupungua ,ila th important issue ni kujengeana uwezo zaidi ....we unadhani tukidiscourage more kuna atakayejiamini kati yetu?
 
Sio kupungua tu, kuna watu hua wanapoteza kabisa jumla.Nimeona mwenyewe. . .

Hehehehehe anaemdiscourage mwenzie anaweza akawa anafanya hivyo ili kufidia kutojiamini kwake kwahiyo MAYBE NOT.
 
basi huyo from th beggning hakuwa nayo ila alitaka kuijenga through huyo anayeivunja.
 
Hahahaha mbona sasa waogopa dekio?Lolz
hahahahahaha! huyo siyo mm ,ni fidel.....after ol kwa karne ya saiv kuna matumizi ya vifaa sana kwahiyo mtu akideki siyo km zile za uswahilini.tuachane na hii ,we hv been thr olready tusirudie.
 
tatizo wanawake wengine usipo wapiga makofi wanaona kama vile hawapendwi kwa hiyo wanamchokonoa mwanaume mpaka apigwe ndo anatulia halafu wanaume wengi sio waongeaji sana kama wanawake wanavyoongea utadhani wamefungwa kengele mdomoni sasa kwao huwa ni vitendo
 
hahahahahaha! huyo siyo mm ,ni fidel.....after ol kwa karne ya saiv kuna matumizi ya vifaa sana kwahiyo mtu akideki siyo km zile za uswahilini.tuachane na hii ,we hv been thr olready tusirudie.
Nlikua napima tu urefu wa kina. . . nafurahi kuona bado usawa uliopo nawezana nao.
 
Back
Top Bottom