Kumekucha: EFM Radio kuja na Muundo Mpya wa Kipindi kitakachokuwa Kinawazumgumzia Simba SC tu na siyo Wasiojua Wengine

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,721
109,157
Wenyewe ( hasa Watangazaji ) wao Wanasema kuwa hata Rangi za Herufi zao Tatu EFM zina Rangi zinazoshabihiana na Rangi ya Klabu Bora na Kubwa nchini Tanzania na Afrika ya Simba Sports Club.

Kipindi hicho Kipya kitaitwa Unguruma na Simba SC ambacho kitakuwa kina Udhamini wa Bia nzuri ya Pilsner na kitakuwa kinaenda Hewani ndani ya Kipindi chao cha Michezo cha Sports Headquarters ambacho ndicho Kipindi Bora cha Michezo kwa sasa Tanzania.

Haya GENTAMYCINE nawashauri wale Wengine ( Wasiojua Kigamboni Wavuvi FC ) nao wamuombe Rafiki yao Diamond Platinumz amwambie Mtu Wao Mtangazaj Maulid Kitenge na Wao wawe na Kipindi cha Kuwaongelea karika Redio yenye Ukigamboni Ukigamboni mtupu ya Wasafi FM ila kule EFM ni Kwetu Sisi wana Simba SC tu sawa?

Safi sana EFM Radio na Boss Mwana Simba SC Mwenzangu Majizzo. Hapa Umewanyoosha na Wataumia ile mbaya Kudadadeki zao.
 
Itawasaidia msife kiume?
Au ndio mtavuka robo?
 
Bado upo usingizini, angalia vizuri list ya CAF walioteuliwa kugombea nafasi ya klabu bora Africa uone kama hilo timu lenu la wachezaji mdumange wa Msimbazi kama ipo.

Ukishavimbiwa mafenesi unakuja kujambajamba tu JF.
 
naona baada ya kuona kapigwa ban ndiyo umeamua kujitutumua kujitokeza kumkabili. sikujua kuwa pamoja na kuwa kubwa jinga hapa jamiiforums lakini pia ni muoga na unamuogopa kweli kweli
 
Japo ni biashara Ila kaushabiki na ubunifu mkubwa jua pilsner watalipia maokoto hapo. Simba waje na radio yao au tv station yao
 
Back
Top Bottom