Kumbe rais huwa anaenda marekani kujirusha na wasanii hivi

Nenda kwa Michuzi Blog utaona kuwa Rais alikuwa on Transit na David Beckham hayuko USA yuko UK na nimekupa sababu

Na pia kamualika Tanzania kutembelea

Acha Uzushi; tuwe wakweli kidogo...

Unahisa na hizo safari na kujirusha kwa vasco Dagama?
 
mi nimejiuliza sana kama walikutana ghafula hivi kati ya Jk Na Beckcham nani alianza kujitabulisha kwa mwenziea. sidhani kama Beckcham anamfahamu Jk hata kwa sura ninavyohisi JK alimfata huyu njemba na kumwambia unanifahamu mimi Hapana . mimi ni raisi wa Tanzania kunapopatikana ule mrima mrefu wa Kilimanjaro na kadhalika na kadhalika
 
Hapo umenena sidhani kama beck anamfaham mzee wa magogoni
 
Kwani rais akikutana na Beckham akamkaribisha aje kupanda Kilimanjaro na Beckam akaitikia wito akapanda dunia nzima ikajua kama Beckham yupo kileleni ni faida au hasara?
 
mi nimejiuliza sana kama walikutana ghafula hivi kati ya Jk Na Beckcham nani alianza kujitabulisha kwa mwenziea. sidhani kama Beckcham anamfahamu Jk hata kwa sura ninavyohisi JK alimfata huyu njemba na kumwambia unanifahamu mimi Hapana . mimi ni raisi wa Tanzania kunapopatikana ule mrima mrefu wa Kilimanjaro na kadhalika na kadhalika

Kwani rais kujitambulisha kitu kibaya?
 
kwa hiyo obama akija bongo unatarajia akikutana na kaseja airport asimame na kuanza kuongea nae?? protocol haipo hivo rais anakuwa na schedule ambayo lazima aifuate lakini huyu kichwa ngumu haambiliki ndio maana hata majuzi imetokea ajali kwenye msafara wake kimara yeye anashuka kwenye gari kwenda kuangali angepigwa risasi nani alaumiwe rais ajifunze kuzingatia protocol sio kila mtu unayemuona maadam ni maarufu basi umrukie na kuanza kuongea nae rais hana kazi anajirahisisha mno!

osokoni unacho kinena ni kweli. amezidi kujipeleka down to the ground bila ya kujua ni hatari kwa maisha yake na maisha ya walinzi wake pia. anawapa wakati mgumu sana walinzi wake na msafara wake kwa ujumla.kuzingatia protocol kwake ni mtihani mkubwa! uswahili too much!!!!!
 
Naomba mtu atuwekee photo zote mheshimiwa wetu alizopiga nje hasa zile alizopiga na ma-celebrities
 
Sio wanasoka tu mkuu hata wakufoka foka pia anakutana nao!!!
2436630.jpg

​tena kajipanga kabisa anasubili picha.. hahahahaha...
 
hapo kuna mawili
1. Anamwambia Hatuna kocha wakueleweka saizi, mzee unaweza ukaifundisha Taifa Stars???
2. Mzee Ruvuma kuna uranium za kutosha vipi sasa hutaki tuwekeze kama tulivofanya na bush??

Nafikili kati ya hayo mawili au yote ndo yanaongelewa apo
 
Unless unajua alikuwa anaongea nini hapo, unaweza kuwa unasagia Kikwete anamsomesha Beckham kuhusu Malaria Tanzania na jinsi gani msaada wake katika PR unaweza kusaidia ku raise millions of dollars zinazoweza kusaidia watanzania milioni kadhaa kuepuka kifo cha Malaria.

Not saying that this is the best presidential move, but sometimes presidents have to do what is practical.

Sasa unless unajua labalaba ilihusu nini hapo, huna haki ya kusagia.

Agree with you 100% kwa kuwa hakuna mtu aliyekuwapo hapo kati yetu. Ila twaweza jifunza kwa mifano tu, hivi kwani tuliwahi jaribu kutokomeza malaria TZ? let alone specifics, tumewahi kuwa na initiatives zozote zinazohusisha kujitegemea katika ku-raise funds, matumizi ya kweli na kufikia lengo ndani ya awamu ya nne!!

JK anahukumiwa kwa matendo yake Kiranga na si vinginevyo.
 
Alikuwa anafundishwa kufoka foka huoni huo mdomo kama anasema yoy yo yo kama ..yo yo!!!!!!!!!!!
 
hapo kuna mawili
1. Anamwambia Hatuna kocha wakueleweka saizi, mzee unaweza ukaifundisha Taifa Stars???
2. Mzee Ruvuma kuna uranium za kutosha vipi sasa hutaki tuwekeze kama tulivofanya na bush??

Nafikili kati ya hayo mawili au yote ndo yanaongelewa apo

Hii inawezekana mkuu maana mzee wa magogoni hata haeleweki
 
kwa hiyo obama akija bongo unatarajia akikutana na kaseja airport asimame na kuanza kuongea nae?? protocol haipo hivo rais anakuwa na schedule ambayo lazima aifuate lakini huyu kichwa ngumu haambiliki ndio maana hata majuzi imetokea ajali kwenye msafara wake kimara yeye anashuka kwenye gari kwenda kuangali angepigwa risasi nani alaumiwe rais ajifunze kuzingatia protocol sio kila mtu unayemuona maadam ni maarufu basi umrukie na kuanza kuongea nae rais hana kazi anajirahisisha mno!

muite weiter akuongee ya moto nyingne! Ntalipa mimi good!!
 
Unless unajua alikuwa anaongea nini hapo, unaweza kuwa unasagia Kikwete anamsomesha Beckham kuhusu Malaria Tanzania na jinsi gani msaada wake katika PR unaweza kusaidia ku raise millions of dollars zinazoweza kusaidia watanzania milioni kadhaa kuepuka kifo cha Malaria.

Not saying that this is the best presidential move, but sometimes presidents have to do what is practical.

Sasa unless unajua labalaba ilihusu nini hapo, huna haki ya kusagia.
Na wewe unless unajua nini walichokuwa wanakiongelea, huna haki ya kufagilia!
 
Back
Top Bottom