Kumbe rais huwa anaenda marekani kujirusha na wasanii hivi

Ziara zake zinachanganya bana. Mara kaenda kuchange blad, mara sijui kaenda kule kudungwa sindano, mara sijui kaenda kujirusha! Sijui tushike ipi!

Mie nimesha choshwa kabisa na issues za jamaa huyu wa TZ na huyu ama pembeni yake ni Balozi au ni nani mbona naye anashirki mkutano huu =
 
Hivi kumbe Rais anasafiri na commercial flight! Ile ndege ya Mramba alomnunulia imefia wapi? au ndo ATCL style? kwa hiyo kwenye Flight anajichanganya na raia wengine kama mwakyembe alivyopanda daladala la tegeta?

Tulikula majani sisi ili mkuu wa nchi anunuliwe Ndege. Au hakuipenda kama vile alivyosumsia ma benzi ya Mkapa akachukua ma BMW? Aseme tu tutamtafutia Airforce One.

Haiwezi kupiga Safari Ndefu za USA; ni za Africa labda EUROPE
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom