Na Pia ndie Msanii Mkuu nchiniNi moja kati ya majukumu yake kama kiongozi wa wasanii wa bongo
Mwenye picha ya Nyerere na Mwamed ally Bondia aiweke hapa!
View attachment 54122
Kama kawa kama dawa.
Sio wanasoka tu mkuu hata wakufoka foka pia anakutana nao!!!
Ziara za muheshimiwa rais kumbe ndo huwa zinaishia kwa kukutana na wasanii na wanasoka
View attachment 54114
*** Hapana; Sipendi safari zake lakini hapo wamekutana London, Kikwete on transit na david beckham karudi London kukimbiza Mwenge wa Olympics
Kwahiyo wamekutana kwa bahati hawakupanga kukutana
Hapo tuache fitina kidogo ...