Azim Dewji: Rais akisafiri anaenda kazini, haendi kutembea

Maryam Malya

Senior Member
Nov 29, 2021
115
258
Azim Dewji ambaye ni mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania amezungumza na waandishi wa habari na kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa jitihada kubwa za kupigania maslahi ya Watanzania hasa anaposafiri kwenda maeneo mbalimbali Duniani kutafuta fursa kwa ajili ya wananchi wote.

Akitolea mfano ziara ya Rais Samia nchini India, Azim Dewji ameeleza kuwa pamoja na mambo mengine Rais alienda India kutafuta soko la Mazao mbalimbali kama vile Mbaazi na kadhalika kwaajili ya kuwanafuisha wakulima wa kawaida.

"Mhe. Rais wetu amepewa heshima kubwa ya kuwa mgeni Rasmi katika kuadhimisha miaka 59 ya Uhuru wa Zambia lakini pia kupata fursa ya kuhutubia Bunge sio jambo dogo hata kidogo, lakini kubwa kabisa Mhe. Rais ameenda kuweka mazingira mazuri ya biashara kati ya Tanzania na Zambia kwani sasa hivi duniani kuna vita ya biashara hakuna vita ya bunduki, kwahiyo ni muhimu kila mtu kuvutia kwake. Rais wetu anafanya hivyo" - Alisema Azim Dewji akizungumzia ziara ya Rais Samia nchini Zambia.
 
Hao mabalozi kazi yao nini kama hata kazi ya kutafuta soko la mbaazi mpaka Rais apande ndege kwenda kutafuta soko yeye mwenyewe? Huyu Azim Dewji naye pimbi tu
 
Azim Dewji ambaye ni mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania amezungumza na waandishi wa habari na kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa jitihada kubwa za kupigania maslahi ya Watanzania hasa anaposafiri kwenda maeneo mbalimbali Duniani kutafuta fursa kwa ajili ya wananchi wote.

Akitolea mfano ziara ya Rais Samia nchini India, Azim Dewji ameeleza kuwa pamoja na mambo mengine Rais alienda India kutafuta soko la Mazao mbalimbali kama vile Mbaazi na kadhalika kwaajili ya kuwanafuisha wakulima wa kawaida.

"Mhe. Rais wetu amepewa heshima kubwa ya kuwa mgeni Rasmi katika kuadhimisha miaka 59 ya Uhuru wa Zambia lakini pia kupata fursa ya kuhutubia Bunge sio jambo dogo hata kidogo, lakini kubwa kabisa Mhe. Rais ameenda kuweka mazingira mazuri ya biashara kati ya Tanzania na Zambia kwani sasa hivi duniani kuna vita ya biashara hakuna vita ya bunduki, kwahiyo ni muhimu kila mtu kuvutia kwake. Rais wetu anafanya hivyo" - Alisema Azim Dewji akizungumzia ziara ya Rais Samia nchini Zambia.
Kwanza sijui unawezaje kwenda kutembea kwenye ziara za kiserikali
 
Yuko na uhakika hakuna vita ya bunduki?

Hili ndilo limefanya aite waandishi wa habari? Bila shaka kuna bustani yake anaipalilia kidizaini. Tunawajua magabachori!
Magabachori ni watu muhimu sana katika nchi hii! wana historia ndefu sana katika kuchangia maendeleo ya Tanganyika na Tanzania kwa ujumla, hatuna sababu ya kuwaogopa!

Siku akitokea mwandishi ambae ni objective, akaandika kuhusu mchango wa wahindi katika maendeleo yetu, tutaona aibu, hakuna kabila hata moja linaloweza kufikia hata nusu ya mchango wa WAHINDI, sisi tutabaki kujisifia Uafrika na rangi nyeusi!
 
Sioni uhusiano wa nilichokisema na ulichokiandila wewe!
 
Magabachori ni watu muhimu sana katika nchi hii! wana historia ndefu sana katika kuchangia maendeleo ya Tanganyika na Tanzania kwa ujumla, hatuna sababu ya kuwaogopa!

Siku akitokea mwandishi ambae ni objective, akaandika kuhusu mchango wa wahindi katika maendeleo yetu, tutaona aibu, hakuna kabila hata moja linaloweza kufikia hata nusu ya mchango wa WAHINDI, sisi tutabaki kujisifia Uafrika na rangi nyeusi!

Mkuu nakuunga mkono! Chuki ni mbaya sana!
 
Back
Top Bottom