hii ni lugha gani tena?aah jaman j2 klak2 ktakuwa waz. Kama helkopta o sera ndo zna determine ushnd 2tajua kwan 'ukubwa wa pua cowng wa makamac' mwny kchwa na aelewe
Victim, don't be shocked by CCM corrupt actions, corruption in Tanzania is order of the day, some people ask for it but others just offer without being asked!Am not shocked by CCM corrupt actions but very disappointed by Tanzanian voters response to this.For a few throw aways they still vote for CCM to keep them in poverty. VERY SAD INDEED
Chadema ni Dume la mbegu sio kama CUF,huwa naifananisha CUF na ma CD wa sinza.
Hiki kirusi kinachojiita FaizaFoxy ni cha hatari kuliko kile cha ukimwi na kimeta! Ni kirusi pandikizi-haramu! Inaonekana kila habari inayotoka humu chenyewe kinajaribu kupachika mianya ya udini tu! Hiki ni kirusi kilichosheheni roho ya fitina ya jini Makata na Maimuna na kilichojaa harufu chafu ya udini!
Mbinu za ushindi au mbinu za wizi! Safari hii zimegoma.
sinapindu, tetesi haiombewi radhi ndio maana ikaitwa tetesi, itakapodhihirika ni kweli, inageuka sio tetesi tena bali ni fact, na kidhihirisha vinginevyo, tetesi hiyo hujifia natural death kuwa kumbe ilikuwa ni tetesi tuu ambayo haiombewi radhi kwa sababu nimesema tuu kile nilichosikia.twende taratibu kaka pasco!.. nikuombe tu uje kuomba radhi hapa ikidhihirika tofauti,kumbe vikao vya mbege navyo vina mambo!.. anyways,ahsante kwa hii!.. imewafurahisha mno magandwa!..
aaa! Kumbe huyu kijana nilikuwa nashinda kumwelewe, kumbe ana mental retardation, hivi unaweza kusifu mbinu chafu zinazo tumiwa na ccm kudhulumu haki za watanzani. Leo nimeprove huyu kijani ni hamnazo kabisaa.
Achana na FF, huyo ni mcha Mungu wa msimu. mwezi Ramadhani anafunga, hatendi dhambi, haandiki upumbavu wake humu. Ule mwezi ukiisha tu, anaanza kuuza tena.
Tina, nimeipenda hii, kama Chadema imefadhiliwa na fisadi RA,hii ni kali kuliko na ilistahili thread yake. Japo mimi sio Chadema, wala siwatetei Chadema, ila kwenye hili la helcopter naomba niwatee, Chadema ndicho chama pekee chenye helcopter zake 2 hapa nchini Tanzania. Ile ya CCM na ya CUF wamekodisha toka Kenya.Sasa tetesi nyingne ni kwamba helikopta zote tatu zimetoka kwa Mafisadi wakiongozwa na Rostam. Ya CC ya Chadema na ya CUF wote wamelipiwa na RA na kuna kila sababu. Lakini kwa kweli CUF wamechemsha sana maana sasa ni wazi mchuano ni CDM na CCM maana CUF hawajulikani wako wapi, ni wapinzani ama chama tawala so wale wana mageuzi wamewakimbia na wana CCM wameenda kwenye CCM yao na tayari vigogo wao wameshaanza kuondoka Igunga jioni hii nimekutana nao Nzega na ndiko nimekuta wakisema Cdma bao wamepewa fedha za helikopta na RA na wakibisha nitawaumbua na hiyo ya Pasco ni ya kweli wamesema wenyewe nikiwasikia wakitokea Igunga na wengione wamelewa wanajifanya mashehe na mmoja hanijui ananiangalia jicho hiloooo!!! Hadi nikaogopa
Sasa tetesi nyingne ni kwamba helikopta zote tatu zimetoka kwa Mafisadi wakiongozwa na Rostam. Ya CC ya Chadema na ya CUF wote wamelipiwa na RA na kuna kila sababu. Lakini kwa kweli CUF wamechemsha sana maana sasa ni wazi mchuano ni CDM na CCM maana CUF hawajulikani wako wapi, ni wapinzani ama chama tawala so wale wana mageuzi wamewakimbia na wana CCM wameenda kwenye CCM yao na tayari vigogo wao wameshaanza kuondoka Igunga jioni hii nimekutana nao Nzega na ndiko nimekuta wakisema Cdma bao wamepewa fedha za helikopta na RA na wakibisha nitawaumbua na hiyo ya Pasco ni ya kweli wamesema wenyewe nikiwasikia wakitokea Igunga na wengione wamelewa wanajifanya mashehe na mmoja hanijui ananiangalia jicho hiloooo!!! Hadi nikaogopa
Schofild, mimi sio meku, ni chapa ng'ombe. Nimekuja kidogo hapo Uparo, baadaye nitapanda Sumi hadi pale Iwa, nitashukia Tella na kupenya ndani kwa ndani hadi kuchomokea pale Mandangeni na kushusha Kawawa Rd, pale nitatia kituo kidogo kupata ile kitu ndipo nitaishia zangu MS.Mbonyi meku.KV ya wapi?Japokuwa umesema si mpenzi wa chama chochote nahisi una mapenzi na CDM.Niko Kongo.
ritz, mimi sina chama na sio mshabiki wa vyama bali maslahi ya taifa.Mkuu Pasco,
unashauri kitu gani au unatoa angalizo gani kwa vyama vya siasa ili siku moja tuwang'oe Magamba?
jiangalie wewe kichwa nazi utabaki hivyohivyo na utabiri wako usio wa msing kama ngugu yako marehemu wa pale magomen, mara vingunguti mara nini,mjinga weweBen geniuous, wa Vingunguti kwanza unatakiwa ufahamu kuwa JF sio ya CMD.
Halafu humu hakuna uadui kama unaoutaka, JF kwangu ni faida nimepata marafiki wengi tu tena wengi ni Pro-CDM wewe kama upendi post zangu kaa kimya dogo!
Kwanza wewe nani anakujua humu JF mpaka afuate maneno yako kwanza wewe ni CDM-kata.
Mzimu wa Ritz unakutafuna kijana kila muda unaweweseka hovyo!
Kama ni hivyo basi CCM wanastahili sifa kwa kuwa na mbinu za ushindi.
mbinu hapo ni ipi?ku miss use kodi zetu,hiyo gharama haikufaa kupeleka watoto kadhaa shule?Kama ni hivyo basi CCM wanastahili sifa kwa kuwa na mbinu za ushindi.