fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,065
hebu acheni wivu......
Hamjui mtoto wa raisi ni raisi?
nakuomba ubadili tabia, suala hili ni la nchi mzaha haufai. harafu JF is for thinkers not mockers, it is for serious mind not jokes.
hebu acheni wivu......
Hamjui mtoto wa raisi ni raisi?
W. J. Malecela, naamini kuwepo kwao kusingeleta gumzo kama hayo mengine yaliyo nyuma ya pazia yasingekuwepo. Mengi yamezungumzwa kuhusu Riz1 na Miraji. Kwa kifupi kwao kwake ni news!
nakuomba ubadili tabia, suala hili ni la nchi mzaha haufai. harafu JF is for thinkers not mockers, it is for serious mind not jokes.
Kwa ufalme tulio nao sasa si kosa. Iwapo wanaweza kuwasukia watu dili hadi wakateuliwa uwaziri watashindwa uapishaji ambao ni matokeo ya dili zao? Nani mara hii kasahau tuhuma kuwa Lau Masha aliteuliwaje tokana na konnekisheni na RizOne? Wapo wanaokwenda mbali kudai eti wengine waliteuliwa kutokana na ukaribu na Bi Mkubwa rais wa WAMA. Ajabu wahusika hawakanushi tuhuma hizi. Waulize akina Mwanaidi Majaar waliulaje.
Ah! mambo mengine yanchekesha sana, nani kakwambia JK anawatayarisha watoto wake kuwa wafalme? hivi inaigia akilini kwamba siku ya sherehe JK awe anawafungia wanawe chumbani wasionekane wakichanganyikana na raia/mawaziri hili asije kueleweka vibaya, tusiwe na mawazo potofu jamani.
- mkuu mleta mada kwani katiba ya jamhuri inasemaje kuhusu watoto wa the sitting president na sherehe za ikulu?
- halafu pia uweke wazi katiba hiyo hiyo inasema nini kuusu hao wananchi wengine wa kwaida waliohudhuria huko jana, infact na mimi nilikuwepo pia, i mean ndio njia pekee ya kukata mzizi wa fitina, otherwise isije ikawa wivu na chuki binafsi bila hoja za msingi! Au?
William.
Marais toka awamu ya kwanza hadi ya Tatu hatuwaona watoto wao kwenye hizo sherehe za Mawaziri kuapishwa
Ni Miaka Miwili na Nusu imebaki wataichukua ikulu hapo 2015?
Ridhiwan Kikwete akizungumza na aliyekuwa rais wa Yanga Jamal Malinzi wakati wa hafla hiyo katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Miraji Kikwete akiwa na wadau wengine katika hafla hiyo
- Mkuu mleta mada kwani katiba ya Jamhuri inasemaje kuhusu Watoto wa The sitting President na Sherehe za Ikulu?
- Halafu pia uweke wazi Katiba hiyo hiyo inasema nini kuusu hao wananchi wengine wa kwaida waliohudhuria huko jana, infact na mimi nilikuwepo pia, I mean ndio njia pekee ya kukata mzizi wa fitina, otherwise isije ikawa wivu na chuki binafsi bila hoja za msingi! au?
William.
Sijaona tatizo, labda kama kulikuwa na bahasha nao wakakunja! Navyojua watu hawa kwao ni IKULUMarais toka awamu ya kwanza hadi ya Tatu hatuwaona watoto wao kwenye hizo sherehe za Mawaziri kuapishwa
Ni Miaka Miwili na Nusu imebaki wataichukua ikulu hapo 2015?
Ridhiwan Kikwete akizungumza na aliyekuwa rais wa Yanga Jamal Malinzi wakati wa hafla hiyo katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Miraji Kikwete akiwa na wadau wengine katika hafla hiyo
WJM,- Mkuu mleta mada kwani katiba ya Jamhuri inasemaje kuhusu Watoto wa The sitting President na Sherehe za Ikulu?
- Halafu pia uweke wazi Katiba hiyo hiyo inasema nini kuusu hao wananchi wengine wa kwaida waliohudhuria huko jana, infact na mimi nilikuwepo pia, I mean ndio njia pekee ya kukata mzizi wa fitina, otherwise isije ikawa wivu na chuki binafsi bila hoja za msingi! au?
William.
nakuomba ubadili tabia, suala hili ni la nchi mzaha haufai. harafu JF is for thinkers not mockers, it is for serious mind not jokes.
- Mkuu mleta mada kwani katiba ya Jamhuri inasemaje kuhusu Watoto wa The sitting President na Sherehe za Ikulu?
- Halafu pia uweke wazi Katiba hiyo hiyo inasema nini kuusu hao wananchi wengine wa kwaida waliohudhuria huko jana, infact na mimi nilikuwepo pia, I mean ndio njia pekee ya kukata mzizi wa fitina, otherwise isije ikawa wivu na chuki binafsi bila hoja za msingi! au?
William.
WJM,
Ndio maana huwa nakwambia wewe sio MWANASIASA. Unataka kulazimisha tu kuingia huko. Yaani KATIBA ya NCHI iongelee watoto wa Rais aliye madarakani! Isemeje sasa? Hata mke wa Rais hatajwi kokote kwenye katiba. Katiba inawataka wateule wa Rais kuapishwa naye basi. Hii mialiko au ninyi wenyewe kujipeleka huko sio hitaji wala takwa la KIKATIBA. Baadhi yenu mlikwenda pale ili Rais ajue mpo, awakumbuke teuzi zijazo za ma-DC, Ubunge,....